Uchaguzi 2020 Halima Mdee aache kumnenea mabaya Askofu Josephat Gwajima, akikaidi atapata laana!

Uchaguzi 2020 Halima Mdee aache kumnenea mabaya Askofu Josephat Gwajima, akikaidi atapata laana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.

Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.

Maendeleo hayana vyama!
 
Labda hasira za shetani ninavomjua amfiriro ni ndugu na shetani plus mkono wa baunsa
 
Back
Top Bottom