lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Siasa ndivyo ilivyo, naamini baba askofu wangu alipoingia kwenye siasa alijaandaa kwa jambo lolote.Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!