Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Bahati nzuri mimi siishi kinafiki.Bwashee usimshuhudie jirani yako uongo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati nzuri mimi siishi kinafiki.Bwashee usimshuhudie jirani yako uongo!
Chief tafuta App ya Vidmate. Huko xvideos ipo kama kiungo kamili ni mwendo wa kufungua tu! Ukiandika gwajima video hiyo!!hivi hizi ukizigoogle unazipata?
Mimi ni muislam kwa kurithNamshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dr Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Huo sio uongo alikula kondoo wake na akarekodiwa, au huwa unashirikiana nae nini ?, ametaka mwenyewe kuingia siasa ambako kutukanwa ni kawaida, pia mwambie mgombea wenu wa urais (magufuli) aache mara moja kuwaita wagombea wetu magunziBwashee usimshuhudie jirani yako uongo!
Mbona hamnenei mabaya Mbowe kwani nae anakula kondoo wake wa viti maalum?Na aanze kulaanika aliyekula kondoo wake kwanza. Kwani hakula kweli?
Unapokuwa kiongozi wa dini usafi wa kiroho na kimwili ni jambo la kwanza, (imani).Mbona hamnenei mabaya Mbowe kwani nae anakula kondoo wake wa viti maalum?
Msikilize kilaza wa maccm na usomi wake uchwara.Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Kusoma sana siyo kuelimika bwashee!Msikilize kilaza wa maccm na usomi wake uchwara.
"Ombi letu ni kwamba maji yetu hapa yaharakishwe kwa sababu, maji ya hapa yanatoka kama matope ni machafu sana, wananchi wa Kasulu hawana matatizo kabisa na ccm_tanzania na wamesema kura zote wanakupa wewe Meko"- Prof Ndalichako
Acha uongo alishiriki kuzibadilisha madrasa gani? Ziko wapi?Mimi ni muislam kwa kurith
Ask of gwajima alishiriki kuzibadilisha madrasa ziwe Sunday schools
Huyu ni mwizi kupitia dini ana mpaka bank
Wana Kawe tuna jambo letu tarehe 28 Octoba.. Hatuwezi kuchagua matapeli wa dini kutuwakilisha bungeni!Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Bahati mbaya sina mlengo wowote wa kisiasa. Ila unapokuja kwenye suala la kiongozi wa dini kula kondoo wake nitajibu! Simjui Mbowe wala yeyote yule. SIPO KWENYE SIASA KABISAA!!Mbona hamnenei mabaya Mbowe kwani nae anakula kondoo wake wa viti maalum?
Bwashee,Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo sauti ya zege hana chake kawe. Angekuwa na busara, angeanza kuaga mapema. Bishop. Gwajima ndio mbunge mtarajiwa wa Kawe.Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!