Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mpaka sasa Halima Mdee wa CHADEMA amepoteza Jimbo lake la Kawe baada ya Askofu Josephat Gwajima wa CCM kumshinda kwa Kura 194,833
huku yeye akiwa naKura 32,524

Nini maoni yako?

Mwandishi wako: EmmanuelKasomi
 
Walimu, Polisi, NEC, TCRA Ndio nyota wa hii game..ila polisi nyie polisi Mungu yupo. Nyie Polisi mmegeuka kama sio waTz. Nyie watu hamna utu.

UKATIRI Mnaowafanyia watu mjue kabisa Mbinguni Mtakwenda moja kwa moja Jehenam...Mnaumiza sana watu jiulizeni sana kama Ukatiri huu unawapa Neema mbele za Macho ya Watanzania..
 
Huyu Gwajima hakuna matusi ambayo hakutukanwa, ila akakaza ileile. Yule mtoto wa Dada angechemsha mapema Sana. Kwaheri sauti ya zege.
 
Acha udini wewe
Yeye siyo mdini mdini ni huyo aliyetangazwa mshindi huyu amefanya kuweka kumbukumbu sawa tu!

Mimi nachosubiri baada ya uchaguzi huu ni kuona kila mahali barabara za lami,maji safi watoto kutokukaa chini huko mashuleni,mahospitalini huduma ziboreshwe sometimes hata zile kero za ndugu kunyimwa miili mfu ya ndugu zao ziondolewe though sikumbuki lini kumsikia mbunge wa CCM akiliziungumzia hilo mara ya mwisho nilimsikia mbunge mmoja wa upinzani akimbana Umi pale bungeni naye akajibu ujinga ujinga tu na midomo yake aliyoipaka rangi utasema kicheche katoka kuiba kuku.

Kwa ufupi, kama ni gari dereva ameshasinzia huku gari ipo speed 140.
 
Hongera Gwajima kwa Ushindi huo mnono Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…