Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Gwajima hajachaguliwa bali CCM wamepora jimbo Kwa njia haramu za kishetani.
That's my point, Gwajima hana influence yeyote kachokwa na waumini wake kwa ahadi hewa.
 
Per Diem

Wananchi wapo mamilioni na Polisi ni wachache tukiingia road wewe mwenyewe utakufa kwa pressure acha tumlilie mungu maana CCM hamna ridhaa na baraka za wapiga kura mungu atapokea kilio cha wapiga kura tu
 
View attachment 1615667
We will always love you our heroes
Katika hao, ni watatu tu ndio nimeonea huruma zaidi kwa vile wao walikuwa wakifanya kazi zao za kibunge sawasawa: Sugu, Haule, na huyo mchungaji. Lakini hao wengine walikuwa hata hawafiki majimboni mwao;

Kwa mfano Bulaya tangu achaguliwe hajawahi kukutana na halmashari ya Bunda na wala hajawahi kuongelea lolote kuhusu Bunda akiwa Bungeni, Matiko naye ni vile vile, Mbowe ndiye zaidi kwani alichukulia kuwa Hai ni yake tu hata asipoiwakilisha bungeni watamchangua tu.
 
Kura za wizi huwa ni nyingi mno usifikiri wezi wa kura wanakuibia vikura vichache
Kwani si idadi ya wapiga kura inajulikana jamani, kukiwa na kura za wizi, basi idadi ya kura itakuwa nyingi kuliko wapiga kura walioandikishwa. wagombea wote walihakiki daftari la wapiga kura na wanajua idadi yake.
 
Walimu, Polisi , Nec , TCRA Ndio nyota wa hii game..ila polisi nyie polisi Mungu yupo.Nyie Polisi mmegeuka kama sio watz...nyie watu hamna utu
Kuna kundi moja hapo huwa sielewi linashiriki namna gani kuhujumu kura? Kundi la Walimu? Kwa mfano mwaka huu Ni Walimu wachache mno wamepata kazi NEC.Na wao level yao Ni kituoni tu na sioni Kama vituoni kunakuaga na figisufigisu.
 
Kwani si idadi ya wapiga kura inajulikana jamani, kukiwa na kura za wizi, basi idadi ya kura itakuwa nyingi kuliko wapiga kura walioandikishwa. wagombea wote walihakiki daftari la wapiga kura na wanajua idadi yake.
Mkuu upo?
 
Kwani si idadi ya wapiga kura inajulikana jamani, kukiwa na kura za wizi, basi idadi ya kura itakuwa nyingi kuliko wapiga kura walioandikishwa. wagombea wote walihakiki daftari la wapiga kura na wanajua idadi yake.
We naye usiwe kama mwanamke wa bar unafata meza yenye bia nyingi.

Watu tumeshuhudia wakiletwa vituoni asubuhi na magari kutoka jimbo lingine kisha wameingia kupiga kura kwenye kituo ambacho hawapo kwenye list na mawakala walipojaribu kusogea kuhakikisha vitambulisho vyao kama vina match na taarifa za kwenye daftrari walikataliwa wasisogeze unyayo na wasimamizi wa tume.

Tarehe 27 wasimamizi wa tume huku street walilala saa 9 walikesha ofisi za kata usiku mzima kuchakata kura zitakazotumika 28 mawakala wa vyama wamefika saa 12 wamekuta tayari eti watu washapiga kura na wakati sheria inasema muda wa kuanza ni saa 1.
 
Tofauti ni kubwa sana kiasi kwamba hata kama kulikuwa na irregularities. Ni vigumu sana kujitetea au kupinga aisee.
 
Hata ukinitukana haibadilishi ushindi. Yaani mtu ashindwe kwa zaidi ya kura laki na nusu halafu ulete uongo hapa wa watu kuletwa kutoka wilaya nyingine, yaani walikuwa kwenye dafatari gani. Kila mpiga kura namba yake inaandikwa kwenye ballot paper, kwa hiyo kama Mdee analalamika basi aombe recount kuhakiki namba za kwenye ballot paper na za kwenye daftari.
 
Kwa maoni yangu, kwa vile Gwajima naye ni tapeli tu, nadhani watu wa Kawe hawakumpigia kura Gwajima bali walimpinga Mdee; kura zao zilikuwa "against Mdee" siyo "for Gwajima." Mbunge asiye staha yeye muda wote ni makelele na kutafuta fujo tu.
 
Back
Top Bottom