Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ushindi ataenda kusherekea pale kona baa, kumbuka TCRA wamepiga pin social networks ila site za pornograph zipo activeMwizi akifanikiwa kuiba henda bar kutumia na malaya.
acha unafiki.Hongera gwajima kwa Ushindi huo mnono Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.
tulieni kabisa huku mtaani hakuhitaji mbwembwe, kwa sasa hamna kinga tena.Kuimba kupokezana, mbio kubadilishana kijiti.Hii inaweza kuwa mwisho wenu katika maisha yenu kuitwa waheshimiwa, au kukanyaga tena pale mjengoni nje ya CCM. Niwatakie kila la kheri katika maisha yenu mapya.View attachment 1615667
We will always love you our heroes
Gwajima amelawiti na kubaka sanduku la kura ni Aibu kwa Asikofu kuiba kura.Mpaka sasa Halima Mdee apoteza Jimbo lake la kawe kwa kushindwa na Askofu Josephat Gwajima (CCM) aliyeibuka na Kura 194,833
huku mpinzani wake Halima Mdee (CHADEMA) akiwa na Kura 32,524
Nini maoni yako?
Mwandishi wako: EmmanuelKasomi
Watatu kwa hata kura kaiba anao mabwana watatu na wizi pia.Kwahiyo G anatumikia mabwana wawili sasa, na wakati biblia anayofundushia imeagiza huwezi tumikia mabwana wawili. Ngoja tuone ni bwana yupi atamtumikia na kumpenda zaidi.
Kama kashindwa kuiheshimu biblia kafikia hatua ya kufanya uchafu wa kujirekodi akingonoka unafikiri atakua na woga wowote kuiheshimu katiba ya nchi?Kwahiyo G anatumikia mabwana wawili sasa.. na wakati biblia anayofundushia imeagiza huwezi tumikia mabwana wawili. Ngoja tuone ni bwana yupi atamtumikia na kumpenda zaidi.
Wewe mwenyewe mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua kuwa wapinzani wanapinga ujinga wenu huko Bungeni, acha kuvuta Bangi kisha ndipo utajua umuhimu wa wapinzani BungeniHakuna kitu kama hicho. Wanapinga ujinga tu, sasa wakapinge kwa wake/waume zao
Kile kipimbi cha burundi kimepost hypocritic huko twitter eti fair election without any violence.Gwajima amelawiti na kubaka sanduku la kura ni Aibu kwa Asikofu kuiba kura.
Hakuna uchaguzi Tanzania CCM imenajisi na kubaka uchaguziKile kipimbi cha burundi kimepost hypocritic huko twitter eti fair election without any violence
Gwajima hajachaguliwa bali CCM wamepora jimbo Kwa njia haramu za kishetaniJapo nchi hii inawajinga lakini sijaona muelekeo wa mjinga yeyote ambaye angeweza kumpa kura gwajima
Kamanda chomoa ukimbie, kuna kanyama nyuma huko kananing'inia. Chadema ni lazima IFEWewe mwenyewe mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua kuwa wapinzani wanapinga ujinga wenu huko Bungeni, acha kuvuta Bangi kisha ndipo utajua umuhimu wa wapinzani Bungeni
Hakuna uchaguzi bali ni vioja vya CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi.Wakuu iringa vipi kwa pastor msigwa ndugu wa mkuu
Tulisema sasa basi, ingieni road tuwatahiriHakuna uchaguzi Tanzania CCM imenajisi na kubaka uchaguzi
Albadiri kwa kwenda mbele mpaka mnyooke.Tulisema sasa basi, ingieni road tuwatahiri
Wametangaza mshindi au bado maana Kuna baadhi ya kata ameongoza.Hakuna uchaguzi bali ni vioja vya CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi