Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Hongera gwajima kwa Ushindi huo mnono Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.
acha unafiki.
 
View attachment 1615667
We will always love you our heroes
tulieni kabisa huku mtaani hakuhitaji mbwembwe, kwa sasa hamna kinga tena.Kuimba kupokezana, mbio kubadilishana kijiti.Hii inaweza kuwa mwisho wenu katika maisha yenu kuitwa waheshimiwa, au kukanyaga tena pale mjengoni nje ya CCM. Niwatakie kila la kheri katika maisha yenu mapya.
 
Mpaka sasa Halima Mdee apoteza Jimbo lake la kawe kwa kushindwa na Askofu Josephat Gwajima (CCM) aliyeibuka na Kura 194,833
huku mpinzani wake Halima Mdee (CHADEMA) akiwa na Kura 32,524

Nini maoni yako?

Mwandishi wako: EmmanuelKasomi
Gwajima amelawiti na kubaka sanduku la kura ni Aibu kwa Asikofu kuiba kura.
 
Kwahiyo G anatumikia mabwana wawili sasa.. na wakati biblia anayofundushia imeagiza huwezi tumikia mabwana wawili. Ngoja tuone ni bwana yupi atamtumikia na kumpenda zaidi.
Kama kashindwa kuiheshimu biblia kafikia hatua ya kufanya uchafu wa kujirekodi akingonoka unafikiri atakua na woga wowote kuiheshimu katiba ya nchi?
 
Hakuna kitu kama hicho. Wanapinga ujinga tu, sasa wakapinge kwa wake/waume zao
Wewe mwenyewe mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua kuwa wapinzani wanapinga ujinga wenu huko Bungeni, acha kuvuta Bangi kisha ndipo utajua umuhimu wa wapinzani Bungeni
 
Japo nchi hii inawajinga lakini sijaona muelekeo wa mjinga yeyote ambaye angeweza kumpa kura gwajima
Gwajima hajachaguliwa bali CCM wamepora jimbo Kwa njia haramu za kishetani
 
Wewe mwenyewe mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua kuwa wapinzani wanapinga ujinga wenu huko Bungeni, acha kuvuta Bangi kisha ndipo utajua umuhimu wa wapinzani Bungeni
Kamanda chomoa ukimbie, kuna kanyama nyuma huko kananing'inia. Chadema ni lazima IFE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…