Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Hongera Gwajima kwa Ushindi huo mnono Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.
VILABU VYA WAUZA BANGI VILE TUMEVISAMBARATISHA MMOJA MMOJA MANINAAAZAOO
 
Wizi huu ni wizi wa namna gani; mbona namba zinasema hadithi tofauti kwa mbunge kama Halima Mdee?

Huko Kawe kuna watu wa aina gani?
 
Wale wapenzi wa movies ukiona picha sterling ameuawa unajua kinachofuata.

Rufufu Mukandala.
 
Kwa maoni yangu, kwa vile Gwajima naye ni tapeli tu, nadhani watu wa Kawe hawakumpigia kura Gwajima bali walimpinga Mdee; kura zao zilikuwa "against Mdee" siyo "for Gwajima." Mbunge asiye staha yeye muda wote ni makelele na kutafuta fujo tu.
Mtumishi wa Mungu Gwajima usimuite tapeli.
 
A PORN STAR is mbunge ..congratulations to a porn star mmemuongezea utajiri , baada ya ule wa kua nabii feki na mchungaji
 
Wananchi wameamua kuondoa waongo
Malipo ya udhalimu ni KIFO. Hongereni kwa wizi wa kishindo, sasa tunatarajia Tanzania itakua kama europe, Watanzania watakua mabilionea, tutaogelea kwenye utajiri.
 
Safi sana Gwajima peleka maendeleo Kawe, Gari za kubeba Wagonjwa ulizoahidi peleka.
 
Hoooray!
Sasa barabara zinakuja.
Halima Mdee sasa ruksa kuandamana ukitumwa na chama chako.
Halima katupotezea muda mrefu oppurtunities za maendeleo Kawe.
She will not be missed by any Kaweian.
 
Pia hata wewe weka haya maneno akiba. Hakuna aliyeaapishwaa hata mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji28]
Mkuu anayeapishwa Ni mmoja tu ambae ni rais hao wengine wakishakabidhiwa tu fomu za ushindi ndo inakuwa imeisha hivyoo Wanasubiri vikao vianze tu waingie mjengoni.

Na kwa upande wa rais hakuna atakae mzuia rais Magufuli kuapishwa.
Hivyo Basi itoshe tu kusema kuwa nchi nzima ndo ishakuwa ya kijani hivyoo.
 
Chama kimoja kinaelekea kaburini, Ruzuku inakimbia hivyo 😂 😂
 
Ushindi upi kapata Gwajima? Hakuna kitu kinaitwa ushindi hapo bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi hakuna zaidi ya hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…