Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
VILABU VYA WAUZA BANGI VILE TUMEVISAMBARATISHA MMOJA MMOJA MANINAAAZAOOHongera Gwajima kwa Ushindi huo mnono Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.