“Kwa mwanasiasa kuna wakati unaweza kupata ajali ya kisiasa. Njia bora na sahihi ni kuomba Msamaha kama kuna mahali umekosea. Kuomba msamaha sio udhaifu, ni kuonyesha Kuwa wewe ni binadamu unaweza kukosea. Kwa kawaida watu dhaifu huwa hawaombi msamaha.” -@MsigwaPeter