Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

Jibu hoja acha porojo
 
Halima na wenzake wote wako under surveillance ya tiss , kila wanachokifanya wanakifanya kwa maelekezo ya Mhutu na tiss yake . Hata kuja kwenye kamati kesho mpaka waruhusiwe , inategemea Jiwe atakuwa kaamkaje iyo kesho umeelewa ?

Mkuu yanaeleweka hayo. Lakini ni heri busara ikawa rejea.

Kukumbuka ulikotoka ni muhimu zaidi kuliko kuegamia kule unakodhani unakwenda.

Wanasema "tamaa mbele, mauti nyuma."
 
Mkuu kwa hiyo hao wamechaguliwa na CCM? shida CDM haina msimamo rejea 2015 Slaa vs Lowassa, siamini Kama hao wamama wamejiamulia wenyewe tu, siamini Kama hii inshu mbowe alikuwa haijui mapema
Katibu Mkuu kasema hao hawana baraka za chama na kamati kuu ambayo ndio yenye uwezo wa kuteua wabunge viti maalum haijakaa!
Ndio maana hata Spika aliwasurprise waandishi,waliitwa viwanja vya bunge bila kujua spika anawaitia nini!
Hii ni dhahiri huu mchezo ulipangwa na spika ameshiriki!
CDM isipowaadhibu vikali kwa kuwafuta uanachama basi mimi ndio itakuwa mwisho kuwa mfuasi wake!Nitahamia Chauma!
 
Wataacha vipi kugomea kama pori jipya nyani wale wale?
Yes, walikuwa wanagomea matokeo lakini wanakubali kuingia bungeni kwa kuwa walikuwa wanaume (wafanya maamuzi); sasa wanawake wamepata nafasi ya kuingia bungeni minjemba inapinga kwa kuwa haitaingia bungeni!
#hakisawakwawote
 
Mkuu jiandae kisakolojia kesho hiyo ngoma ni 50-50
 
Sawa mwisho wa yote utamkuta mbowe bora tu hili wapunguze mihemko ya mitandao busara inahitajika zaidi achana na danadana za uchaguzi lakini hii mitandao imechangia zaidi kukiumiza chadema

Mkuu CDM ni imara kuliko unavyoweza kudhani. CDM ni people driven. Hamkujifunza hata katika kampeni? Ni watu watakaoamua hatima yao hawa kesho.

Kwamba nani kahusika? Tumewaomba wawe wazi hata kama wahusika ni Jiwe, Pole pole, bashiri, Mbowe, Mnyika nk na watajwe tu!

Tatizo liko wapi hapo hadi tuanze kupiga ramli hadi wino upo?
 
Watu wasisahau pia mchango mkubwa wa hawa wanawake. Sisis ni binadamu na kunawakati kulingana na hali inavyokwenda hata wewe ungeamua kama walivyoamua wao. Kosa hili lisitufanye sisi kuwachukulia kama ni wasaliti. Pia tutakuwa wizi wa fadhila ikiwa tutasahau mchango wao katika kupigania demokrasia nchini.
 
Yes, walikuwa wanagomea matokeo lakini wanakubali kuingia bungeni kwa kuwa walikuwa wanaume (wafanya maamuzi); sasa wanawake wamepata nafasi ya kuingia bungeni minjemba inapinga kwa kuwa haitaingia bungeni!
#hakisawakwawote

Mnajishaua sana. Ila habari mlikuwa nayo mapema tu:

Ukhanithi basi! Sasa basi!

Mlidhani maana yake business as usual? Kweli mburula ni mburula tu!
 
Naona sasa unataka kujaza reply kwenye siredi tu 😅

Mstari wa kwanza kwenye uzi ulitanabaisha wazi nani uzi huu haumfai:

"Mabibi na mabwana na hasa wale walio wazalendo."

Hapa chini kulikuwab na kionjo zaidi kwenu:



Kwa hakika "mboga mboga" huu uzi hauwahusu. Huoni wenzio wengi wamepita kimya kimya?

Umburula kweli nao ni kipaji!
 

Wanasema waungwana, "kosa si kutenda kosa, bali kurudia kosa."

Ajabu na kweli ni kuwa uelekeo wowote wa maelewano ikiwamo katika mtafaruku huu, ni msiba mchungu kwa kina "mboga mboga."

Kama wanatubu na kujirudi. What is the issue?

Mtu mzima uswahilini akisha sema "samahani," kesi yote huishia hapo!
 
Halima na wenzake wote wako under surveillance ya tiss , kila wanachokifanya wanakifanya kwa maelekezo ya Mhutu na tiss yake . Hata kuja kwenye kamati kesho mpaka waruhusiwe , inategemea Jiwe atakuwa kaamkaje iyo kesho umeelewa ?
Kwa hiyo, hao ni mateka na siyo waasi?
 
Kwa nini mnataka waombe radhi?? Kwa kosa gani.Yaani kutekeleza kwa takwa la maamuzi ya kamati kuu imekuwa taabu

Umesoma uzi hukuona kosa lao? Au ndiyo hii ya kukurupuka kutoka mashimoni. Kumbuka uzi huu umezingatia hili:

"Mabibi na mabwana na hasa wale walio wazalendo."

Yawezekana haumo kwenye kundi hili. Kama ni hivyo ulione vipi kosa lao?

Acha nijaribu tena. Kosa lao liko kwenye mada na liko kwenye bold. Rejea ukasome kule kama hujasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…