Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie nahisi ma ccm yatakuwa yamemloga kamanda mdee sio bure, ktk wanawake huyu ndiye alikuwa kamanda kwelikweli (kivitendo)...anafuatiwa kwa mbali na mama wa morogoro jina nani sijui alikuwa mbunge wa mlimba
Nawapongeza Chadema kwa kuwabariki wabunge wateule kwenda kula kiapo, mlifanya uamuzi wa busara.
Umoja na mshikamano ndio nguvu ya Taifa hili.
Hongereni Chadema,
Hongereni Watanzania tuendelee kuwa wamoja na tuchape kazi, anayehubiri utengano awe adui yetu namba moja.
Hapa itategemea ni kosa lipi!!Wandugu, kujikwaa si kuanguka na kosa moja halifukuzishi mke
# WAKINA HALIMA WANA BARAKA ZOTE ZA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA.
FULL STOP.
Hapa itategemea ni kosa lipi!!
Halima kwasasa sio levo ya nyumbu wa Ufipa.atabaki kama alivyo na akuna wakumpangia.
Kaeni mtulie,mambo yamepangwa yakapangika.
Chadema wangekuwa na intelijensia makini ya kunasa mambo,basi maamuzi ya kuwafukuza wangefanya mapema sana kabla ya kuapishwa.
Lakini kwa sasa mmeshachelewa mbali sana.
Msitoke mishipa ya shingo kwa watu wenye kuangalia maslahi yao binafsi na familia zao.
Ni mwaka gani kati ya chaguzi zilizopita mliwahi kusema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki?Msingi wa hoja kama chama ni kutokutambua haramu ya uchaguzi 2020 na yote yatokanayo nao. Huu haupingiki aliye na hoja tofauti na atushawishi kwa hoja. Hiyo ndiyo demokrasia.
Mkuu kwa hiyo hao wamechaguliwa na CCM? shida CDM haina msimamo rejea 2015 Slaa vs Lowassa, siamini Kama hao wamama wamejiamulia wenyewe tu, siamini Kama hii inshu mbowe alikuwa haijui mapemaKamati kuu ya chama haijawapitisha,spika anajua na Mahera anajua!Nini kimetokea mpaka wakaapishwa?Kwanini Mahera na Spika wamekuwa tayari kuvunja katiba na sheria kwa kupitisha watu ambao hawajateuliwa na chama?Kwanini wameshiriki dhambi hii?
Hawa akina Mama wamesahau jinsi Lipumba alivyotumika kuiharibu CUF?Leo ametupwa kama mpira wa kondomu!
CDM wawafukuze upesi,hawa wanataka kukibomoa chama!
Kwa nini mnataka waombe radhi?? Kwa kosa gani.Yaani kutekeleza kwa takwa la maamuzi ya kamati kuu imekuwa taabuMabibi na mabwana na hasa wale walio wazalendo. Ni ukweli ulio wazi kuwa maji yakishamwagika huwa hayazoleki. Hata hivyo tunaweza kuganga yajayo.
Ni ukweli usiopingika kuwa, Bi. Halima ni mmoja kati ya makamanda shupavu kabisa walioipigania CDM kwa uaminifu mkubwa, licha ya kupitia katika changamoto nyingi.
Wandugu, kujikwaa si kuanguka na kosa moja halifukuzishi mke!
Siyo siri kuwa, tukio hili lililopelekea mtafaruku huu, limetusikitisha na kutusononesha mno. Kwa hakika itakuwa vyema sana kama tutashirikiana sote kulimaliza suala hili kistaarabu kwa mustakabala mwema wa chama chetu.
Ni furaha iliyo je mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu?
Msingi wa hoja kama chama ni kutokutambua haramu ya uchaguzi 2020 na yote yatokanayo nao. Huu haupingiki aliye na hoja tofauti na atushawishi kwa hoja. Hiyo ndiyo demokrasia.
"Hapa pana namna ambayo suala hili Bi. Halima, litakwisha na adui yetu akatepeta na kulegea vilivyo:
1.Ombeni radhi kwa dhati kabisa mkijutia yote yaliyotokea.
2. Wekeni wazi bila kuficha kama ni Hadaa, ghiliba, ahadi, vitisho, nk na mkiwaweka wazi wote waliohusika na sarakasi hii. Koleo na likaitwe kwa jina lake.
3. Tuunganeni sote kumshambulia na kumwaibisha mbaya wetu.
4. Mengine kama yatakavyo shauriwa na waungwana wengine."
Sote tu wakosaji, shuruti tuwe tayari kusamehe 7x70.
Hayupo aliyepanga kukufukuzeni. Chonde chonde uamuzi wa kutofika huko mnao pia mikononi mwenu.
Ashindwe mbaya wetu na washirika wake wote.
Washindwe na walegee!
Ushauri mujaraab kwa waungwana,kuomba msamaha na kuweka yote hadharani yatosha kumvua Boxer yustino na genge lake.Tutafakari.Mabibi na mabwana na hasa wale walio wazalendo. Ni ukweli ulio wazi kuwa maji yakishamwagika huwa hayazoleki. Hata hivyo tunaweza kuganga yajayo.
Ni ukweli usiopingika kuwa, Bi. Halima ni mmoja kati ya makamanda shupavu kabisa walioipigania CDM kwa uaminifu mkubwa, licha ya kupitia katika changamoto nyingi.
Wandugu, kujikwaa si kuanguka na kosa moja halifukuzishi mke!
Siyo siri kuwa, tukio hili lililopelekea mtafaruku huu, limetusikitisha na kutusononesha mno. Kwa hakika itakuwa vyema sana kama tutashirikiana sote kulimaliza suala hili kistaarabu kwa mustakabala mwema wa chama chetu.
Ni furaha iliyo je mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu?
Msingi wa hoja kama chama ni kutokutambua haramu ya uchaguzi 2020 na yote yatokanayo nao. Huu haupingiki aliye na hoja tofauti na atushawishi kwa hoja. Hiyo ndiyo demokrasia.
"Hapa pana namna ambayo suala hili Bi. Halima, litakwisha na adui yetu akatepeta na kulegea vilivyo:
1.Ombeni radhi kwa dhati kabisa mkijutia yote yaliyotokea.
2. Wekeni wazi bila kuficha kama ni Hadaa, ghiliba, ahadi, vitisho, nk na mkiwaweka wazi wote waliohusika na sarakasi hii. Koleo na likaitwe kwa jina lake.
3. Tuunganeni sote kumshambulia na kumwaibisha mbaya wetu.
4. Mengine kama yatakavyo shauriwa na waungwana wengine."
Sote tu wakosaji, shuruti tuwe tayari kusamehe 7x70.
Hayupo aliyepanga kukufukuzeni. Chonde chonde uamuzi wa kutofika huko mnao pia mikononi mwenu.
Ashindwe mbaya wetu na washirika wake wote.
Washindwe na walegee!
Ni kweli hawajawahi kuutambua.2010 waligomea matokeo na walitoka wakati JK anahutubia bunge, 2015 same, 2020 galegaleNi mwaka gani kati ya chaguzi zilizopita mliwahi kusema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki?
Chaguzi zote chadema ilikuwa inakataa matokeo, lakini wabunge wanaingia bungeni! Nadhani tunaijua siri: ni kwa kuwa waliokuwa wanashinda ubunge wengi wao walikuwa wanaume!
Sasa imekuja nafasi ya wanawake kuingia bungeni, nyie minjemba ndio mnawafanyia kauzibe: kwa kuwa ni wanawake!
Kubalini tu yaishe, waachwe waingie bungeni kama ilivyokuwa kwa wanaume: haki sawa kwa wote.
Nawapongeza Chadema kwa kuwabariki wabunge wateule kwenda kula kiapo, mlifanya uamuzi wa busara.
Umoja na mshikamano ndio nguvu ya Taifa hili.
Hongereni Chadema,
Hongereni Watanzania tuendelee kuwa wamoja na tuchape kazi, anayehubiri utengano awe adui yetu namba moja.
Ni mwaka gani kati ya chaguzi zilizopita mliwahi kusema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki?
Chaguzi zote chadema ilikuwa inakataa matokeo, lakini wabunge wanaingia bungeni! Nadhani tunaijua siri: ni kwa kuwa waliokuwa wanashinda ubunge wengi wao walikuwa wanaume!
Sasa imekuja nafasi ya wanawake kuingia bungeni, nyie minjemba ndio mnawafanyia kauzibe: kwa kuwa ni wanawake!
Kubalini tu yaishe, waachwe waingie bungeni kama ilivyokuwa kwa wanaume: haki sawa kwa wote.
Mkuu hawa wamama wanstahili tuzoYoyote aliyeungana na shetani ni kumpiga chini watajuana wenyewe. Ni marufuku kuungana na shetani.
Ni kweli hawajawahi kuutambua.2010 waligomea matokeo na walitoka wakati JK anahutubia bunge, 2015 same, 2020 galegale