Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

Ndio wanasiasa hao, katafute pia kauli,a mbowe na lissu kabla na baada ya kumpokea lowassa
 
Sawa kama ni hivyo strengths za CDM ziko Belgum na Germany sio mbaya lakini kwa Tz ni kujidanganya tu kutoka wabunge zaidi ya 70 hadi 1 bado tu na matumaini kuwa kuna siku kuku atatoa maziwa na vifaranga kunyonya
 
Ndio wanasiasa hao, katafute pia kauli,a mbowe na lissu kabla na baada ya kumpokea lowassa

Kabla na baada ya kumpokea Lowassa, Lissu na Mbowe wameendelea:

1. Kudai tume huru.
2. Kuwa wa wazi kutambua wizi wa chaguzi kila wakiibiwa.
3. Kutambua adui yetu namba moja ni chama mboga mboga.
4. Na yote ya namna hiyo.

Labda umejichanganya na kauli za CCM Lowassa alipokuwa CCM, alipokwenda CDM na aliporudi nyumbani.
 
Washazoea mteremko tayari. Mfano, huyo Miss. Kawe tangu amalize shule sidhani kama amewahi kuishi nje ya siasa. Nakumbuka walikuwa kwenye kampeni ya Ukimwi- ISHI baadae siasa. Wamezoea vitu laini, mtalaumu mpaka mtachoka.

Basi hawana bahati safari hii.
 
Sawa kama ni hivyo strengths za CDM ziko Belgum na Germany sio mbaya lakini kwa Tz ni kujidanganya tu kutoka wabunge zaidi ya 70 hadi 1 bado tu na matumaini kuwa kuna siku kuku atatoa maziwa na vifaranga kunyonya

Wanasema, "wavumao baharini papa, lakini na wengine wapo!"

Si Belgium na Germany tu jombi, "hata Ikungu lya Bashashi kina ngedere ngabu wana wakilisha!"

Kwani mwizi si alijipangia aibe hadi wapi? 70 hadi 1, 70 hadi 0, nk si alijipangia tu.

Kwani ni uchaguzi upi unaoongelea? Huu huu wa wizi wizi? Uchaguzi huu huu haramu ambao kama ulivyo na yote yatokanayo nao tusioutambua?

Unaleta reference zisizotambulika!

Hii si ndiyo kumpigia mbuzi gitaa ukitegemea acheze ndombolo ya solo?
 
leo mnalia kama mbwaa daah maisha kama gwaride aisee
 
Hayo ni mambo yako hata hujaongea na wenye chama.
Halima kawavuruga loh!

Mlidhani atatuvuruga? Mmeruka mkojo, mmetua kwenye Mavi.

Kesho 0800 maafisa vipenyo wenu wakitaka, inshallah, watakuwa mbele ya Pilato.

Stay tuned!
 
Kuna neno la kiingereza "Blackmail".Nahisi kuna watu wamekuwa "blackmailed".Si kwa hofu walizokuwa nazo usoni na hata ukaaji kama vile wana p,totally restless.

Wanayo nafasi ya kujikomboa kesho 0800. Yote yako mikononi mwao. Wapange kusuka au kunyoa.
 
Basi tuseme si ukomavu ila wanatetea ulaji, na hili ni kwa wanasiasa walio wengi hapa nyumbani. Bado kwangu naona uamuzi waliouchukua ni sahihi kwani hautabadilisha kitu kwetu na wao ndio hajira yao. Bado nitawalaumu wa chama changu kwa uporaji uliovuka mipaka, tulichokifanya mwaka huu sikukitegemea. Hilo la viti maalumu ni makubaliano na mabeberu nili kuweka uwakilishi sawa bungeni, ikawa ni lazima tupate njia ya kuweka walau huo usawa kwani huko majimboni si rahisi wao kupata hata asilia kumi ya viti.
 
Wakiitisha maandamano hamjitokezi, wakiwekwa selo mnaishia kupiga hashtag Twitter ohh #freesomebody# upinzani wanawapigania watz ila nyinyi mko bize na kusaka mkate wenu, waacheni nao wasake matonge yao!
Waliomchangia faini atoke jela walikuwa wana CCM.
 
wee mdanganye tuu, hukumu ya snitcher ni kupigwa risasi ya kichwaa tuu au kunyongwa hadharan na hili halina mjadala na walla si vinginevyo, na wanao mtetea vile vile rissasi za kichwa bila hurumaa…….ova!
Hahahahahahahahaahhaaaaaaaaaa
 
27 Nov 2020 ni kesho. Hakuna haja ya kupanic na kuanzisha threads nyingi kwa mkupuo. CHADEMA wanakwenda kulimaliza hili once and for all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…