Deni la taifa wakati ben anastaafu ilikuwa tr 17 hivi. Na si kwamba madeni yote yalisamehewa yapo bayo hayakusamehewa (non-paris club) na haya yaliyosamehewa yalitokana na mpango wa nchi wahisani kuwapunguzia madeni nchi masikini zenye madeni makubwa (HIPC). Deni la 'serikali' wakati jk akistaafu ilikuwa tr 35. Tiba kwenye madeni haya si jambo la kishtukiza, ni jambo linalofahamika wazi kabisa na huwa inategemea taasisi iliyotoa fedha, mfano ni miaka ya karibuni tumekuwa tukikopa sana katika taasisi za kibiashara kama mabenki, hawa riba yao huwa juu hivyo kupelekea madeni haya kuwa makubwa, kuongezeka zaidi katika kipindi cha muda mrefu. Nchi wahisani hutoa ili unayosikia inaitwa mikopo ya masharti nafuu, yaani haina masharti ya kibiashara.Nina maswali hapa mtaalamu, namba za madeni zilizotajwa humu na hasa kuhusu deni aliloacha JK ni Dollar bilioni 31, trilioni 35, trilioni 41, trilioni 43. Deni linalosemwa leo aliloacha Magu ni trilioni 71.
Mkapa akiondoka madarakani, aliacha deni kiasi gani? Maana nakumbuka nchi kusamehewa deni lote mwaka 2000, kabla ya kusamehewa lilikuwa kiasi gani na kabla ya kukabidhi nchi kwa JK, deni lilikuaje?
Wakati Mkapa anasamehewa deni, tuliambiwa amesamehewa lile deni halisi ila riba ataendelea kulipa, riba ilikuwa kiasi gani?
Je, mikopo iliyofuata haikuwa na riba? Kama ilikuwa nayo, ni kiasi kati ya hayo madeni yaliyorithiwa kutoka utawala mmoja kwenda mwingine?
Kiukaguzi, pesa iliyokopwa, ililingana na matumizi halisi ya sababu ya kukopewa?
Kama wewe au mtaalamu yoyote atanisaidia nielewe kwenye hayo maswali, nitashukuru sana.
Hapana mkuu tazama tena katika vyanzo vyako, mfano mpaka dec 2004 deni lilikuwa dola bilioni 9.2193 na njia nzuri nafikiri ya kulinganisha madeni haya hasa kwa kuhusisha muda mrefu ni kuyaweka ktk dola za kimarekani au kuyaweza kiuwiano na pato la taifaAwamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20, Deni la Taifa lilikuwa Trilioni 3 na Deni hili liliongezeka sana mwaka 1979 kwasababu ya vita ya Kagera.
Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10. Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.
Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10, Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10, Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%.
Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10, Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.
Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae ameongoza kwa miaka 5.5 Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35, Mpaka kufikia mwezi huu wa April mwaka 2021, deni la Taifa limefika Trilioni 71, Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 36 ndani ya miaka mitano.
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.
Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka mitano tu, je, Rais huyu angepewa awamu ya pili tutaangukia wapi?
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Ok ngoja nitacheckHapana mkuu tazama tena katika vyanzo vyako, mfano mpaka dec 2004 deni lilikuwa dola bilioni 9.2193 na njia nzuri nafikiri ya kulinganisha madeni haya hasa kwa kuhusisha muda mrefu ni kuyaweka ktk dola za kimarekani au kuyaweza kiuwiano na pato la taifa
Halafu huyu bwana ana harufu kama ya MADILU system kutokana na arguments zake.Wewe tapeli na huo usomi wako uchwara, taja km ngapi za barabara, shule, vituo vya afya, vyuo vikuu, hospitali za rufaa ngapi? usilete blabla hapa
Dah....Kwanza jiondoe ujinga wa kudhani kuwa kila anayoyaona mazuri ya JPM ni sukuma gang....ni ujinga uliokithiri [emoji2960]Jiridhishe vizuri wewe sukuma gang. Kwa rekodi za Tanroads JK ndiye aliyejenga miundombinu mingi huyo Mwendazake hata 1/4 hajafikia na wala hakuchukua kodi za dhuluma na hakutesa watumishi na deni halikupaa kama sasa. Nyerere alikuwa na ndoto ya kujenga madaraja 5 makubwa. Mto Mara, Kilombero, Malagarasi, Kigamboni, na Rufiji. Nyerere alijenga moja la mto mara; Mkapa alijenga la mto Rufiji. JK kajenga Kigamboni, Kilombero na Malagarasi.
Asante mtaalamu. Na kuhusu riba kama zilikuwepo au hazikuwepo? Kiasi gani? Je, inamaana mtangulizi wa mama alikopa 36 trilioni taslimu au kikokotoo kinasemaje hapo? Kama ndio, tunayo taarifa ya matumizi ya hiyo 36 ya Jiwe na ile ya Mkwere?Deni la taifa wakati ben anastaafu ilikuwa tr 17 hivi. Na si kwamba madeni yote yalisamehewa yapo bayo hayakusamehewa (non-paris club) na haya yaliyosamehewa yalitokana na mpango wa nchi wahisani kuwapunguzia madeni nchi masikini zenye madeni makubwa (HIPC). Deni la 'serikali' wakati jk akistaafu ilikuwa tr 35. Tiba kwenye madeni haya si jambo la kishtukiza, ni jambo linalofahamika wazi kabisa na huwa inategemea taasisi iliyotoa fedha, mfano ni miaka ya karibuni tumekuwa tukikopa sana katika taasisi za kibiashara kama mabenki, hawa riba yao huwa juu hivyo kupelekea madeni haya kuwa makubwa, kuongezeka zaidi katika kipindi cha muda mrefu. Nchi wahisani hutoa ili unayosikia inaitwa mikopo ya masharti nafuu, yaani haina masharti ya kibiashara.
KabisaHalafu huyu bwana ana harufu kama ya MADILU system kutokana na arguments zake.
Lissu anaosha vyombo na kupiga deki na kwa tumbo lile soon tutarajie chotara.Tutaolewa na mabeberu!
Ukiona mtu hataki kuambiwa kitu wala kukosolewa, anatesa na kuua bila kujali, analazimisha kusifiwa na kuimbiwa mampambio ni viashiria vya kulinda ajenda zake za kishetani.Huyu mzee kafilisi nchi asee
Tatizo lake ni kuwa linaweza kuja rudi kama COVID 19Itabidi tufanye maombi kwa siku 3,hili deni litayeyuka
Tuanze na midege inayoanikwa kama nsansa na michembeHatuwezi kuuza chochote kitu tumalize hili deni?