Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Gwajima alijaza fomu ya maadili nyumbani kwake badala ya kuja mbele ya msimamizi wa uchaguzi hivyo hana sifa ya kugombea

Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Gwajima alijaza fomu ya maadili nyumbani kwake badala ya kuja mbele ya msimamizi wa uchaguzi hivyo hana sifa ya kugombea

Huyo Askofu tapeli mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA !⁩ HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.

View attachment 1549033
Wagombea wa ccm ukipitia form zao wote moja baada ya nyingine lazima ukute manyaunyau tu wakatwe kabisa wamezoe
 
Pingamizi za Mgombea Urais CHADEMA (Mh Tundu Lissu) kwa Mgombea Urais CCM (Mh Magufuli).

1) Mgombea urais CCM hakuambatanisha picha ya Passport Size.

2) Wadhamini wake hawaja hakikiwa na TUME, badala yake wamehakikiwa na wasaidizi wa Uchaguzi.

3) Tarehe alizo hakikiwa hazipo kwenye ratiba iliowekwa.

# Jaji Kaijage - Simamia uadilifu na haki kwenye kuhukumu mapingamizi ya wagombea wote. Usiangalie chama wala cheo. Historia itakukumbuka kwa moja kati ya mawili "SHUJAA" au "KIBARAKA".

# Mapingamizi yanatakiwa kujibiwa mbele ya TUME na wakiwepo wahusika wote - Lissu Vs Magufuli.
Let me laugh teeth are bornes
 
Kweli wee akili zako ni sawa na kinyesi changu ..fomu ya tamko la mgombea linajazwa mbele ya msimamizi wa uchaguzi siku ya kurejesha fomu ambayo ni trh 25, haya hapo juu kajaza trh 20 ..hv hapo Gwajiboy anaponaje???
Sasa ni wapi imetakiwa ijazwe siku ya kurejesha ?Cha muhimu ijazwe mbele ya msimamizi haijalishi siku ya kurejesha ama la.
 
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA !⁩ HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.

View attachment 1549033
Mmeweka pingamizi au mmekimbilia Twetter?
 
Form za uteuzi zinatakiwa kurudishwa tarehe ya uteuzi ambayo Ni 25 sasa hiyo 20 ni msimamizi yupi alipokea na kuvunja sheria za uchaguzi.
Mwisho wa kurudisha ndo ulikuwa tarehe 25,ila unaweza rudisha kabla ya hiyo tarehe.
 
Daah Ni aibu kubwa Sana kwa Mwanasiasa Nguli Kama halima kuja kuleta Tatizo la kifundi Kama hili huku mitandaoni badala ya kwenda kuweka pingamizi kwa NEC Kama alivyofanya John mrema kwa Bonna.

Yani muda wa mapingamizi umeisha ndo unasema Hana sifa Ukiwa Kama tume ya uteuzi ama Ukiwa Kama halima mdee.

Unachokitafta kwa huyo gwaji boy soon utakipata Naona unamchokonoa afungue Domo lake,, Kuna yule alikuwa RC wa Dsm aligalagazwa mdomoni vibaya mnoo na huyo gwaji hivyo kuwa makini Sana na huyo jamaa.
Tatizo hawezi thibitisha kama form imesainiwa nyumbani.
 
Twitter ndo mahakamani ?Sasa why hakuweka pingamizi ?
Sipati picha kambi ya upinzani ya ccm itakuwaje kwa wangombea hawa form zinawashinda kujaza sijui kiongozi wao atawa nani
 
Nyie mnaota! ccm haiwezi kukubali pingamizi lolote lipitishwe na tume kwa mgombea wao hata kama pingamizi hilo lina mashiko.
 
Back
Top Bottom