Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

Hao inatakiwa wasipewe jibu la moja kwa moja ili CCM wapitishe watu wao kwenye nafasi za kugombea. Dakika za jioni ndio wanawapiga pin mazima wakale walikopeleka unga.
 
Walikuwa mahakamani, sasa limerudishwa kwenye chama, chama hakiwezi kukaa na watu a,mnbao si wanachama wake.
Hivyo msimamo wao ni wabunge wa mwendazake!
WAnanchi ndio sasa mmeulizwa mnawasamehe waendelee kutafuna hela yenu ya kodi?
Mimi kama mwananchi naomba wahamie Burundi kabisa. Sitaki kuwaona Cuba.
 
kwa mfano wew umeumia upande gani?πŸ’
 
Chadema nao wasanii tu, jambo kama hili linachukuaje muda mrefu kufikia maamuzi.
kufanya mambo kwa mihemko na huku gubu limekuganda moyoni akili lazima itahama, na hayo ndio matokeo yake πŸ’

kajambo kadogo tu, kanaelekea mwaka wa tano sasa bado kanawasumbua na kuwababaisha πŸ’
 
Na ndio cdm wanapopoteza matumaini kwa wananchi kwa issue km hizo.
Tatizo ni vipozeo vyao ndiomana hawana guts za kuwatimua jumla jumla
sure,
Yaan kigaila akae kikao na wenzie na akubali amtimue wife kabisa miongoni mwa wale cov19, ambae ndie anampatia hata vinauli vya kwendea kwenye maandamano maeneo mbalimbali , halafu eti akomae kabisa wife apigwe chini? real?πŸ’
 
Vibuyu Worldwide πŸ˜‚
Siasa ya nchi hii unaweza kutapika kwa hasira ujue
 
sure,
Yaan kigaila akae kikao na wenzie na akubali amtimue wife kabisa miongoni mwa wale cov19, ambae ndie anampatia hata vinauli vya kwendea kwenye maandamano maeneo mbalimbali , halafu eti akomae kabisa wife apigwe chini? real?πŸ’
Ndiomana nawaona vibuyu na hii iko vyama vyote wanalinda sana viburudisho vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…