peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
2025 wanaingia mitaani, kudanga.
Nitachomoa wangu mmoja hapo.
Nitachomoa wangu mmoja hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio cdm wanapopoteza matumaini kwa wananchi kwa issue km hizo.SISI TUNAJUA CHADEMA NA MBOWE WANATUFANYIA USANII TU KWENYE HILI SWALA ILA WATAJIJUA WENYEWE, WATANZANIA WENGI HAWANA MUDA NA UPUMBAVU WAO.
Mimi kama mwananchi naomba wahamie Burundi kabisa. Sitaki kuwaona Cuba.Walikuwa mahakamani, sasa limerudishwa kwenye chama, chama hakiwezi kukaa na watu a,mnbao si wanachama wake.
Hivyo msimamo wao ni wabunge wa mwendazake!
WAnanchi ndio sasa mmeulizwa mnawasamehe waendelee kutafuna hela yenu ya kodi?
Exactly, utamu ukishaweka addiction, lazima ukupe wakati mgumu kufanya maamuzi, hahaNa ndio cdm wanapopoteza matumaini kwa wananchi kwa issue km hizo.
Tatizo ni vipozeo vyao ndiomana hawana guts za kuwatimua jumla jumla
kwa mfano wew umeumia upande gani?🐒View attachment 2986568
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza, Wamelipwa mabilioni isivyo halali, je hayo mabilioni yamewaumiza CHADEMA pekee ama sisi wananchi walipa kodi?
Je, Kuomba msamaha inatosha ama wazitapike mishahara haramu waliyopokesa kwa miaka 4 sasa?
Je, watu hawa unaweza kuwaamini na kukaa nao kwenye kamati hata ya "kusafisha chii cha shimo"?
Wabunge hao wanawake walifukuzwa uanachama Novemba 27, 2020 baada ya kwenda kuapishwa bungeni kuchukua nafasi 19 za viti maalumu ambazo zilisusiwa na CHADEMA.
Halima Mdee[ring leader], Gire Tendega, Matiko, ulaya, Lambart, Mke wa Kitenge yaani Nusrat Hanje, Jesca kishoa,Tunza malapo, Asia mohammed, Kaboyoka, Felister njau,Salome makamba. Rwemlaza konjessta,Antropia, Stella fiao
kufanya mambo kwa mihemko na huku gubu limekuganda moyoni akili lazima itahama, na hayo ndio matokeo yake 🐒Chadema nao wasanii tu, jambo kama hili linachukuaje muda mrefu kufikia maamuzi.
Hiyo inachangia wananchi kuwaona vibuyu tuExactly, utamu ukishaweka addiction, lazima ukupe wakati mgumu kufanya maamuzi, haha
Hiyo inachangia wananchi kuwaona vibuyu tu
[/QUOT
Hio vibuyu unanichekesha sana mwanangu, hahaha
sure,Na ndio cdm wanapopoteza matumaini kwa wananchi kwa issue km hizo.
Tatizo ni vipozeo vyao ndiomana hawana guts za kuwatimua jumla jumla
Ndiomana nawaona vibuyu na hii iko vyama vyote wanalinda sana viburudisho vyaosure,
Yaan kigaila akae kikao na wenzie na akubali amtimue wife kabisa miongoni mwa wale cov19, ambae ndie anampatia hata vinauli vya kwendea kwenye maandamano maeneo mbalimbali , halafu eti akomae kabisa wife apigwe chini? real?🐒
Tumbo la uzazi.kwa mfano wew umeumia upande gani?🐒
Hahaha umenikumbusha pareto huko mbili. Zao hovyo la kishenziWakae huko huko huku KUMEJAA ...ama wakalime Pareto huko Mbulu Maray inalipa
Politics is all about interests.......🐒Ndiomana nawaona vibuyu na hii iko vyama vyote wanalinda sana viburudisho vyao
Politics ni maisha ya watu. Ww nawe kumbe kibuyu?Politics is all about interests.......🐒
maisha sio interest yako sio 🐒Politics ni maisha ya watu. Ww nawe kumbe kibuyu?