Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

Hao inatakiwa wasipewe jibu la moja kwa moja ili CCM wapitishe watu wao kwenye nafasi za kugombea. Dakika za jioni ndio wanawapiga pin mazima wakale walikopeleka unga.
 
Walikuwa mahakamani, sasa limerudishwa kwenye chama, chama hakiwezi kukaa na watu a,mnbao si wanachama wake.
Hivyo msimamo wao ni wabunge wa mwendazake!
WAnanchi ndio sasa mmeulizwa mnawasamehe waendelee kutafuna hela yenu ya kodi?
Mimi kama mwananchi naomba wahamie Burundi kabisa. Sitaki kuwaona Cuba.
 
View attachment 2986568

Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.

Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza, Wamelipwa mabilioni isivyo halali, je hayo mabilioni yamewaumiza CHADEMA pekee ama sisi wananchi walipa kodi?
Je, Kuomba msamaha inatosha ama wazitapike mishahara haramu waliyopokesa kwa miaka 4 sasa?

Je, watu hawa unaweza kuwaamini na kukaa nao kwenye kamati hata ya "kusafisha chii cha shimo"?



Wabunge hao wanawake walifukuzwa uanachama Novemba 27, 2020 baada ya kwenda kuapishwa bungeni kuchukua nafasi 19 za viti maalumu ambazo zilisusiwa na CHADEMA.
Halima Mdee[ring leader], Gire Tendega, Matiko, ulaya, Lambart, Mke wa Kitenge yaani Nusrat Hanje, Jesca kishoa,Tunza malapo, Asia mohammed, Kaboyoka, Felister njau,Salome makamba. Rwemlaza konjessta,Antropia, Stella fiao
kwa mfano wew umeumia upande gani?🐒
 
Chadema nao wasanii tu, jambo kama hili linachukuaje muda mrefu kufikia maamuzi.
kufanya mambo kwa mihemko na huku gubu limekuganda moyoni akili lazima itahama, na hayo ndio matokeo yake 🐒

kajambo kadogo tu, kanaelekea mwaka wa tano sasa bado kanawasumbua na kuwababaisha 🐒
 
Na ndio cdm wanapopoteza matumaini kwa wananchi kwa issue km hizo.
Tatizo ni vipozeo vyao ndiomana hawana guts za kuwatimua jumla jumla
sure,
Yaan kigaila akae kikao na wenzie na akubali amtimue wife kabisa miongoni mwa wale cov19, ambae ndie anampatia hata vinauli vya kwendea kwenye maandamano maeneo mbalimbali , halafu eti akomae kabisa wife apigwe chini? real?🐒
 
Vibuyu Worldwide 😂
Siasa ya nchi hii unaweza kutapika kwa hasira ujue
 
sure,
Yaan kigaila akae kikao na wenzie na akubali amtimue wife kabisa miongoni mwa wale cov19, ambae ndie anampatia hata vinauli vya kwendea kwenye maandamano maeneo mbalimbali , halafu eti akomae kabisa wife apigwe chini? real?🐒
Ndiomana nawaona vibuyu na hii iko vyama vyote wanalinda sana viburudisho vyao
 
Back
Top Bottom