Sauti zege unataka kuchukuwa tena hela za miradi yetu huku kawe tumekustukia hatutakupa kura hata moja
Wajumbe wote wa kwanza ni dizaini hii. Tunaweki tu wakitenyana.Hizi I'd ni so lovely! Unaweza kukuta mimi ni mchangiaji wa tatu kwenye huu uzi!
Uzi wowote wa kumponda Halima lazima uwe na I'd mpya pamoja na asilimia 99 ya wachanguaji.
Ufufuo na uzima hoyeeeeeee
Na mimi nilikuwa nashangaa hili, ikabidi nizitazame hizi ID.Hizi I'd ni so lovely! Unaweza kukuta mimi ni mchangiaji wa tatu kwenye huu uzi!
Uzi wowote wa kumponda Halima lazima uwe na I'd mpya pamoja na asilimia 99 ya wachanguaji.
Ufufuo na uzima hoyeeeeeee
Kwa miaka kumi hujafanya chochote na huku umekula hela zetu
Halima alikuwa hana ajenda yoyote na wananchi wa Kawe.
Ni dhahiri kuwa Gwaji Boy atamgaragaza asubuhi tu maana Halima hana cha maana cha kutuambia watu wa Kawe baada ya miaka 10.
Halima ni mzigo kwa sasa.
Jamani mbona mnapoteza muda kuwajibu hao misukule? Angalieni wamejiunga liniJF. Hivi watu wanaoamini Gwajima anaombea wafu mpaka wanafufuka, unadhani ni timamu hao?Wana- kawe bado tunamuhitaji Halima...Gwanjima hafai.....ameshindwa kuleta maendeleo kanisani kwake....miaka yote waumini wanaabudu kwenye mabanda...jua joto lote lao....sadaka kaenda kununua helkopta.... mbaguzi kidini....mbaguzi kikabila....kigeugeu....hapana kwa kweli.
Hizi I'd ni so lovely! Unaweza kukuta mimi ni mchangiaji wa tatu kwenye huu uzi!
Uzi wowote wa kumponda Halima lazima uwe na I'd mpya pamoja na asilimia 99 ya wachanguaji.
Ufufuo na uzima hoyeeeeeee
Wewe mwenyewe kumbe una chuki binafsi usiwasemee wakazi wenginehata sisi hapa ukwaman tumechoka kweli.kwanza Halima msumbufu,alikua akija pale ofisi ya Kata anatoa matusi anajifamya anajua sana
Hiyo ndiyo njia bora ya kuwarejesha Bungeni wabunge muhimu kama Halima mdeeKwa taarifa yenu wananchi wa kawe, Halima Mdee mumchague au msimchaguwe, ataendelea kuwa bungeni. Chadema walijiandaa kimkakati, kuwa wabunge wote machachari waombe nafasi mbili mbili za ubunge wa kuchaguliwa na ubunge wa kuteuliwa. Ili wakikosa upande mmoja wataingia bungeni kupitia mlango huu wa pili.
Boss hicho sio kikundi cha wanaCCM bali ni group la waumini wake wanaoamini kila wazimu unaotoka mdomoni kwa askofu wao. Angalia hata tarehe zao za kujiunga na JF yaani wamekuja mahsusi kumpigania tapeli mwenzaoCCM wenzangu mna tabu sana. Na bado dawa haijatuingia vema.
Ati mmeunda group la whatsapp then mnapanga kuanzisha thread na kuishambulia as if ni members toka huko na huko.
Mimi CCM ila ukweli namuomba Mungu Gwajima ashindwe saa tatu asubuhi ...mtu wa ndimi mbili wa nini?
Eee Mwenyenzi Mungu jitwalie utukufu ktk hili.