Waislam wakatoriki wote jimboni kawe wapo na Halima mdee hawataki kumsikia Gwajima hata kidogoSubirini muone sasa, hata kwa bao la mkono Gwajima hapiti...hata vyombo vyote vya usalama vihamie Kawe Gwajima hapiti.
Kwa sasa ili udumu CCM inakubidi ujitoe fahamu kwa 100%Jamani mbona mnapoteza muda kuwajibu hao misukule? Angalieni wamejiunga liniJF. Hivi watu wanaoamini Gwajima anaombea wafu mpaka wanafufuka, unadhani ni timamu hao?
We kilaza sema tu umenasika na ahadi hewa ya kupelekwa jimbo hewa huko Marekani!Yaani mdee huna lako hapa kawe kwa sababu wewe ni mzushi kabisa unataka uje ututapeli tena Kawe
ka video basi akiwa ana bembelezwa mboweTaarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.
Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.
Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Hela kitu mbayaTaarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.
Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.
Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Kapten Diego vp alifunga?Fenerbahce SamattaView attachment 1589594