Ukiambiwa utoe uthibitisho wowote wa wao kushawishiwa na CCM huna. Hivyo usipende kuongea vitu vya kubuni. Hiyo ni mojawapo wa viashiria vya upungufu wa uelewa...
Hahahaaa! Yanga anapomshauri simba jambo la maanaChadema walifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe.
Hah hah hah. Eti CHADEMA hakuna demokrasia! Vipi huko CCM wanachapisha fomu 1 tu ya mgombea urais. NdIo demokrasia hiyo! Yaani CCM ukifikiria tu kugombea urais unatimuliwa chama. Muulize Membe!Mkuu ufahamu upi niliojitoa? Nani asiyeona kuwa CHADEMA hakuna demokrasia ila uhuni na political mongers wamejazana huko?
Hakuna kosa lolote lililofanyika na hao CHADEMA kutowafukuza uanachama maana yake ni hao 19 waendelee kuwa wabunge maana tayari waliisha apishwa... CHADEMA Haitaki kupeleka vitu maalum ili kutuma ujumbe serikalini, kwenye Taasisi na Bungeni kwamba wizi wa kura haukubaliki.Chadema walifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe.
Ibilisi alimwambia Yesu nisujudu nami nitakupa milki yote hii.... Yesu alikataa kwani ufalme wake si wa dunia hii!Ukweli ulikuwa upi zaidi ya kushawishiwa na CCM na kuwarubuni. Hawa wadada wakajisahau namna walivyokuwa wanavurumishwa na hao hao ambao leo wamewakumbatia.
Mpaka hapo ni aibu kubwa sana kwa Ndugai.Watanzania ni kama tunachanganywa.
Spika Ndugai amesema wabunge 19 wanawake wa Chadema wananyanyasika kwa sababu chama hicho kina mfumo dume tena ni kampuni inayoongozwa na mtu mmoja..
Mmeshaanza kuhamisha magoli baada ya kuabika kama kondoo asiye na masikioMwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu kuna kitu wanakijua kuhusu sakata hili ambacho Mnyika hakijui
Mzee hii sio hoja hata kidogo...hakuna atakayehangaika kuijibu labda kama kichwa chako hakifanyi kazi.. usipokunya leo haina maana kesho hautakunya.Kwa nini hamjibu swali la Mdee?
Kwa nini 2010 ,2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
Wayajenge ila watoe ufafanuzi maana zimetoka tuhuma kibao kutokana na suala hili na hadi sasa hakuna ufafanuzi wowote,sasa isije wakayajenga halafu wakaacha hivihivi bila kutueleza ni nini kilitokea. Maana hadi sasa Halima Mdee na wenzake bado wanaonekana ndio waliyokosea.Wanakwenda kuyajenga. Hapo ndipo wasipohusika mnapotakiwa kuweza kujitambua nafasi zenu zilipo!
Hakugoma ila waliomba muda usogezwe na wakatoa sababu zao,kamati kuu ndio imekataa na kukimbilia kutoa kuhukumu.Halima dadangu kwenye hili we kubali tu kwamba umechemka tena saana... kuna mambo hadi ya jinai mule kugushi sahihi ya Katibu Mkuu wa chama na kumlisha Mwenyekiti wa chama maneno kwamba ulipata baraka zake!!
Kibaya zaidi zaidi ukagoma kwenda kujadiliwa na kamati kuu...
Aise sioni ukilikwepa hili rungu la kipepe... ushayavulia nguo hayo!!!
Chadema walifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe.