Mimi nimekuwa CCM?CCM very low... mlishadadia Dr. Slaa mkaishia na aibu baada ya kale ka press mlikoa
mwandalia kudharaulika na wanachi.
Msivyo na busara mkahamia kwa Mashinji..mkaishia na aibu.
Mkajitosa kwa wale wabunge Nasari, Lijuabaridi ; Shilinde na wenzao pia mkaishia kupata aibu ya mwaka..mkaangukia pua.
Sasa kwa kuwa hamna mshipa wa aibu safari hii mmehamia kwa hawa wa dada...sasa hii ndiyo itakuwa aibu ya mwaka hadi nje ya nchi...mataifa watawadharau na hizo mnazoziwinda za Mabeberu mtazisikia tu mtapishana nazo!!
Sent using Jamii Forums mobile app