Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

CCM very low... mlishadadia Dr. Slaa mkaishia na aibu baada ya kale ka press mlikoa
mwandalia kudharaulika na wanachi.

Msivyo na busara mkahamia kwa Mashinji..mkaishia na aibu.

Mkajitosa kwa wale wabunge Nasari, Lijuabaridi ; Shilinde na wenzao pia mkaishia kupata aibu ya mwaka..mkaangukia pua.

Sasa kwa kuwa hamna mshipa wa aibu safari hii mmehamia kwa hawa wa dada...sasa hii ndiyo itakuwa aibu ya mwaka hadi nje ya nchi...mataifa watawadharau na hizo mnazoziwinda za Mabeberu mtazisikia tu mtapishana nazo!!
Mimi nimekuwa CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM very low... mlishadadia Dr. Slaa mkaishia na aibu baada ya kale ka press mlikoa
mwandalia kudharaulika na wanachi.

Msivyo na busara mkahamia kwa Mashinji..mkaishia na aibu.

Mkajitosa kwa wale wabunge Nasari, Lijuabaridi ; Shilinde na wenzao pia mkaishia kupata aibu ya mwaka..mkaangukia pua.

Sasa kwa kuwa hamna mshipa wa aibu safari hii mmehamia kwa hawa wa dada...sasa hii ndiyo itakuwa aibu ya mwaka hadi nje ya nchi...mataifa watawadharau na hizo mnazoziwinda za Mabeberu mtazisikia tu mtapishana nazo!!
😭
 
Dada mpumbavu kaonyesha Tamaa isiyo kifani ila wanaoligharimu taifa ni CCM na tissu japo wanaenda anavyotaka yule kutokea chat o ila ndo ivo wananchi ndio wahanga
 
Yule mbunge wa nkasi mmemgwaya kwa sababu nae ameapa ila Mara zote wala hamumzungumzii kwisha habari yenu kifo Cha Mendeeeeeee
Kifo ni chenu CCM maana mnazidi kuzionesha figisu zenu wazi wazi kwa kutaka kuhalalisha uongo na watu wanawaona tu na kuwadharau, sema tu maik zote mmeshikilia nyie hivyo watu wanausikia utopolo wenu vzr!
 
Pressure itakuwa imempanda sema hajajitambua namshahuri akapime coz lile jasho si la kawaida
Amekiri kuwa leo ndiyo amejua wanaompenda na kumchukia. Katika Press ya leo alikuwa na jambo moja tu kuomba msaada juu ya Upuuzi aliyofanya basi!!!! Lakini zile tantalila zimemvua nguo kweli kweli!! Halima amesahau kuwa mwanamke kama mwanamke " Kutokua na msimamo na utii wa Chama chako na kukubali kununulia aidha kwa maneno ama shekeli ni Kudhalisha utu wa Mwanamke "! .

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hili suala ni rahisi kama hivi.

1. Uchaguzi umefanya kwa magumashi sana. CCM wamevuruga uchaguzi sana. Wameiba kura sana.

2. Mbunge yeyote anayekubali kuapishwa kwenda bungeni, anakubaliana na wizi huu na ubakaji wa demokrasia uliotokea.

3. CHADEMA kama chama wamelalamikia ubakaji huu wa demokrasia.

4. Mbunge yeyote anayekubali kuapishwa na kuwa mbunge anapuuza malalamiko ya upinzani kuhusu ubakwaji wa demokrasia, na anaweka maslahi yake na ya kikundi chake juu ya maslahi ya nchi.

5. Wabunge 20 wa CHADEMA waliokubali kuapishwa wamejiunga katika kundi la watu walio saliti demokrasia kwa kuangalia point ya 4 hapo juu.
 
Mdee anaijua chadema kuliko wewe Kasenene na Tundu Lissu wako. She is gonna be your Party Secretary General or Party Chairperson soon!
Even if that is going to be the case, that will not absolve her from having committed some serious factual and logical errors.

One could even argue that a party that would still consider her for such lofty positions will not be a party worth it's weight in salt.
 
Hili suala ni rahisi kama hivi.

1. Uchaguzi umefanya kwa magumashi sana. CCM wamevuruga uchaguzi sana. Wameiba kura sana.

2. Mbunge yeyote anayekubali kuapishwa kwenda bungeni, anakubaliana na wizi huu na ubakaji wa demokrasia uliotokea.

3. CHADEMA kama chama wamelalamikia ubakaji huu wa demokrasia.

4. Mbunge yeyote anayekubali kuapishwa na kuwa mbunge anapuuza malalamiko ya upinzani kuhusu ubakwaji wa demokrasia, na anaweka maslahi yake na ya kikundi chake juu ya maslahi ya nchi.

5. Wabunge 20 wa CHADEMA waliokubali kuapishwa wamejiunga katika kundi la watu walio saliti demokrasia kwa kuangalia point ya 4 hapo juu.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA waliupinga, hata bungeni Magufuli alipoenda kuhutubia walitoka nje, mbona hawakususia bunge? Naomba jibu tafadhali
 
Mdee amezingua, alaf anajifanya haoni.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Ile siku bwana mdogo Ndugai anamuapisha Polepole lakini anaongelea mambo ya CHADEMA na kusema kuna "unyanyasaji wa kijinsia" akiwatumia akina Halima Mdee kama Mfano. Halima anafanya press yake na kusema Chadema hakuna mfumo dume kama inavyoelezwa, maana wao wamekuwa viongozi huko. Ndugai anajionaje?
 
Mkuu wala siyo ushamba tu bali wanaonekana ni wapumbavu kupindukia! Ndugai anafikri anawakomoa viongozi wa CHADEMA, kumbe anatukomoa sisi raia tusiokuwa na hatua!
Ile siku bwana mdogo Ndugai anamuapisha Polepole lakini anaongelea mambo ya Chadema na kusema kuna "unyanyasaji wa kijinsia" akiwatumia akina Halima Mdee kama Mfano. Halima anafanya press yake na kusema Chadema hakuna mfumo dume kama inavyoelezwa, maana wao wamekuwa viongozi huko. Ndugai anajionaje?
 
Nyie wafukuzeni kwenye chama ila sisi tutaendelea kuwatambua kama wabunge.
Nyinyi ndio mnaofanya na kubariki hii nchi kuendeshwa bila kufuata Sheria na utaratibu tuliojiwekea kama Taifa. Yaonekana hata Katiba ya nchi huijui kwa kauli yako hiyo!
 
Back
Top Bottom