400m si mchezo, ila kuna watu wenye misimamo unadhani Maria Sarungi au Fatma Karume hawajahongwa vyeo au pesa mbona bado wana misimamo yao.Siajabu Hata wewe ungekuwa ndio halima ungejikuta upo alipo sasa....
Watanzania tunatabia ya kutopenda kukosa vyote
Uko sahihi kabisa! Mdee ni malaya aondolewe kabla ya kuigwa CDM! Lisu toka huko uliko, njoo toa neno!
Utajua muda wako ukifika. Endelea kusubiri😁Wewe unajuaje alichofanya Mdee ni maamuzi ya chama.
Nani kasema mkutano mkuu, maamuzi ya chama sio lazima yatolewe na mkutano mkuu.Chama kilikaa lini kutoa maamuzi? Ama na wewe unatumia matamko ya viongozi wachache tu.
Lini Chadema ilifanya mkutano mkuu?
Kwani hao wako chama gani cha Siasa?400m si mchezo, ila kuna watu wenye misimamo unadhani Maria Sarungi au Fatma Karume hawajahongwa vyeo au pesa mbona bado wana misimamo yao.
Kuhongwa sio lazima uwe mwanasiasa hapa nazungumzia msimamo.Kwani hao wako chama gani cha Siasa?
Mkuu hata mimi sikuamini hata Mdee? Ila nasubiri tamko rasmi la chama tuone kama wanaweza kurudisha imani kwa wanachama.Mkuu binafsi sina imani na CDM kama chama makini au taasisi imara...
kama kilijua hujuma alizosema Kigogo walipaswa kufukuzwa kabla.Mkuu ulitaka labda chama kifanye nini kuzuia hali hii.
Bado hajaleta madhara makubwa, CHADEMA ni taasisi alifukuzwa Zitto, madiwani 5 wa Arusha, Arfi, CHADEMA ikabaki salama.alete madhara mara ngapi
Unavyofikiri wewe, speculation..wakifukuzwa uanachama wanakuwa siyo wabunge. Hakuna kifua hapo labda Kwa vioe sasa hivi hakuna sheria inayofuatwaHawa viti maalumu kwenda bungeni wana baraka zote za viongozi wa chama isipokuwa baraka za Lissu peke yake. Hawa wanawake wameomba kwenda bungeni ili kupata hela ya kuendeshea maisha....
Chama kina taratibu zake za kupata habari na kuzifanyia kazi may be huu ndio muda mwafaka wangefukuzwa mapema watu wangedhani wanaonewa.kama kilijua hujuma alizosema Kigogo walipaswa kufukuzwa kabla.