Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

Siajabu Hata wewe ungekuwa ndio halima ungejikuta upo alipo sasa....

Watanzania tunatabia ya kutopenda kukosa vyote
400m si mchezo, ila kuna watu wenye misimamo unadhani Maria Sarungi au Fatma Karume hawajahongwa vyeo au pesa mbona bado wana misimamo yao.
 
Uko sahihi kabisa! Mdee ni malaya aondolewe kabla ya kuigwa CDM! Lisu toka huko uliko, njoo toa neno!

Hakuunga mkono, lakini alikalishwa chini na Mdee. Hoja ya Mdee ni kuwa: Haya sio mapenzi yetu ni takwa la kisheria na tukifanya dharau watatoa adhabu, Jee tunajua adhabu yenyewe?
 
Chama kilikaa lini kutoa maamuzi? Ama na wewe unatumia matamko ya viongozi wachache tu.

Lini CHADEMA ilifanya mkutano mkuu?
 
Chama kilikaa lini kutoa maamuzi? Ama na wewe unatumia matamko ya viongozi wachache tu.

Lini Chadema ilifanya mkutano mkuu?
Nani kasema mkutano mkuu, maamuzi ya chama sio lazima yatolewe na mkutano mkuu.
 
Rafiki wa kweli mtamjua wakati wa njaa!! Atakuja adui atawatupia mfupa kuwapima imani yenu... ni kweli hapo ndipo utajua kiwango cha mshikamano wenu kikoje.

Fedha ndugu zangu ina ushawishi mkubwa mno, vyovyote mtakavyosema hapa ila fedha imeshindwa tu kuumba na kumfufua mtu mengine yote inaweza.

Ni kipindi cha kuisuka upya idara hii ya wanawake CDM imeyumba; imetikisika; adui kapenya kwa kutumia rupia kafanikiwa....hakuna haja ya kutafuta mchawi cha msingi ni kuisuka upya idara hii.

Hao waachwe wawe wabunge wa mahakama, wataisemea mahakana na yule aliyewaapisha na wataitekeleza ilani ya CCM...yawezekana Bulaya alitumwa kwa kazi maalum na kaitimiza tayari who knows!!
 
Hawa viti maalumu kwenda bungeni wana baraka zote za viongozi wa chama isipokuwa baraka za Lissu peke yake. Hawa wanawake wameomba kwenda bungeni ili kupata hela ya kuendeshea maisha.

Kilichokubaliwa ni hiki: waruhusiwe waende bungeni ili wakapate mkate wao wa kila siku kwa sharti la kufukuzwa uanachama ili kulinda heshima ya chama.

Kama inavyofahamika hata kama wakifukuzwa uanachama, spika atawakingia kifua hivyo wataendelea kuwa wabunge. 2025 baada ya bunge kuvunjwa wengine wataomba radhi na kusamehewa na kurudi CHADEMA.
 
Mkuu binafsi sina imani na CDM kama chama makini au taasisi imara.

Taarifa za uasi tulianza kuzisikia toka kwa Kigogo,nilizidharau kwasababu niliamini Halima Mdee ni mwanasiasa makini.Leo tunaulizana mambo makubwa kama haya yanatokea bila chama kufahamu na kutoa ufafanuzi kwa umma !.

Hiki ndio chama kilichokuwa kikituimiza kuingia mitaani tuvunjwe viuno na miguu wakati nyuma ya pazia kinafanya mambo ya hovyo.

CDM kilituaminisha Lowassa ni fisadi baada ya muda kikamsafisha,na kumsimamisha kugombea nafasi ya urais.Tukavumilia na kuamua kuwaunga mkono kabla hili halijaondoka vichwani mnapeleka wakina Mama kwa Ndugai !.Hili sitakuwa pamoja na CDM.
 
Mkuu binafsi sina imani na CDM kama chama makini au taasisi imara...
Mkuu hata mimi sikuamini hata Mdee? Ila nasubiri tamko rasmi la chama tuone kama wanaweza kurudisha imani kwa wanachama.
 
Siyo kujiuzulu tu, afukuzwe chama. Full stop.
 
Hawa viti maalumu kwenda bungeni wana baraka zote za viongozi wa chama isipokuwa baraka za Lissu peke yake. Hawa wanawake wameomba kwenda bungeni ili kupata hela ya kuendeshea maisha....
Unavyofikiri wewe, speculation..wakifukuzwa uanachama wanakuwa siyo wabunge. Hakuna kifua hapo labda Kwa vioe sasa hivi hakuna sheria inayofuatwa
 
Siasa ni mchezo mchafu pia ni sayansi ( sijui pure au kimu ) ......muda ni mwalim mzuri sana
 
Huko CDM seems kila mtu kambale au viongozi wanazungukana,sasa tusubilie ni jinsi CDM itakavyoinuka tena la sivyo niliwahi kusema itakuwa kama SAU.

Ni heri CHADEMA wangebaki na msimamo wao wa kutoitambua serikali na ushindi wa CCM plus kusitisha ushirikiano na chama tawala kungejenga credibility ya chama kuliko eti watu binafsi wamejipeleka kisa madeni yao sasa huu ni ujinga,ngoja nitulie mda utaamua
 
Back
Top Bottom