Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu hence ya Chama, awe amefanya kwa kushinikizwa au kwa tamaa zake, kwa kitendo kile hana uhalali tena wa kuendelea kuongoza kitengo cha BAWACHA.
Mbali na kukiuka msimamo wa Chama Mdee kaonyesha tamaa na ubinafsi wa hali ya juu, kajiteua yeye wa kwanza bila aibu badala ya kuwatafuta wanawake vijana wengine ndani ya chama nao wakapate ujuzi bungeni kama yeye.
Juliana Shonza alikuwa Makamu M/kiti wa BAVICHA nakumbuka alileta vurugu kubwa ndani ya BAVICHA kiasi kwamba kuchelewa kwa chama kumfukuza ilikuwa al manusura akigawe chama, ilikuja kufahamika baadae kumbe Juliana hakuwa peke yake alikuwa ametangulizwa kama chambo, nyuma yake walikuwepo kina Zitto, Kitila, Mwigamba na wengineo.
Chama kimshukuru Mdee kwa kuijenga BAWACHA na yote aliyokifanyia chama lakini kitendo cha yeye kama kiongozi kukiuka maamuzi ya chama hakiwezi kuvumilika na chama kikiendelea kumlea anaweza kuambukiza mbegu ya uasi ndani ya chama na kuleta madhara makubwa ‘irreparable’ kwa sababu hatujui walio nyuma yake ndani na nje ya chama ni akina nani na wana nguvu kiasi gani.
Mkuu,
Unaota ndoto za mchana kweupe, inavyoonesha ninyi washabiki wa hicho chama hamkifahamu vizuri ndio maana huwa mnatetea vitu visivyowezekana. Nani amtoe Halima Mdee, utovu wa nidhamu upi alioufanya, kutii matakwa ya sheria na matamanio ya wananchi au matakwa yenu binafsi kuwafurahisha ughaibuni kwa vipande vichahce vya rupia.
Chadema ni mwenyekiti na baraza la wazee waanzilishi sio vikao celebrity unavyovijua wewe amRetainbavyo wewe sio mshiriki na hauwezi kuwa mjumbe wake kufanya maamuzi.
Kilichofanyika na uongozi wa Chadema ni tathimini ya viashiria hatari (Political Risk Management & Assessment)
Risk Tolerance and Acceptability
Treating and Accepting Risks
i. Avoid-Treating the risk by avoiding teh event that would lead to the risk occurring;
ii. Retain-Assess the likelihood and consequences of the risk occurring;
iii. Transfer-Shifting the risk in part or full through insurance subscription and contractual agreement to remedy the damage just in case it arises
iv. Accept the risk-the impact of risk is consistently evaluated and considers the benefit outweighs the probable loss
v. Mitigate-Develop a plan to reduce the likelihood and or the consequences by taking pre-emptive actions along the lines through
a. Identify the range of measures options
b. Assess the options ( cost effective, timely solution matrix, what resources are required and if was feasible)
c. Select the most effective options assign each with rebounce measures owner;
d. Develop a plan, incorporate into existing plans
e. Develop contongency responses wherever applicable
Remember RISK= Severity of harm or loss times likelihodd of occurrence [R=SHL*LO]
Apparently CDM has considered the following to save both its influence in teh community and avoid being part of economy collapse factor due to non cooperation from the supporters and fear by investors to inject multi billion funds in mega projects for the anticipated unrest social interaction
- Political instability that can lead to regime change;
- Macroeconomic and financial imbalances that can lead to a severe malfunctioning of the economy;
- Social, cultural, and environmental risk that can affect human development;
- Global linkages facilitate a country's integration into the global economy but insufficient ties can deny access to external capital, technology, resources, and markets, thus increasing the country's risks; and
- Business environment risk, which allows the country to achieve the level of competitiveness against its neighbors.