Wanajua, si watafanya kama walivyodharau sheria kwa Mwambekwamba ccm hawakujua kama mateka wao wataweza kufukuzwa
Ndiyo maana nasema Jiwe atawaweka ubunge maana heria hazifuatwi isipokuwa kwa kukandamiza wapinzani hapo zinafuatwaMkuu umesahau ya akina Lijuakali, Mwambe na wengineo?
Ungekuwa wewe ungeachaje ulaji halafu eti umpe mwingine, lazima ujiangalie kwanza wewe ndo umuangalie mwingineNidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu hence ya Chama, awe amefanya kwa kushinikizwa au kwa tamaa zake, kwa kitendo kile hana uhalali tena wa kuendelea kuongoza kitengo cha BAWACHA.
Mbali na kukiuka msimamo wa Chama Mdee kaonyesha tamaa na ubinafsi wa hali ya juu, kajiteua yeye wa kwanza bila aibu badala ya kuwatafuta wanawake vijana wengine ndani ya chama nje ya BAWACHA nao wakapate ujuzi bungeni kama yeye.
1. Halima Mdee - Mโkiti BAWACHA Taifa
2. Hawa Mwaifunga - Makamu Mโkiti BAWACHA.
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA.
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA.
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA.
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa.
7. Ester Matiko- Mโkiti kanda
8. Nusrat Hanje - Katibu BAVICHA
Juliana Shonza alikuwa Makamu M/kiti wa BAVICHA nakumbuka alileta vurugu kubwa ndani ya BAVICHA kiasi kwamba kuchelewa kwa chama kumfukuza ilikuwa al manusura akigawe chama, ilikuja kufahamika baadae kumbe Juliana hakuwa peke yake alikuwa ametangulizwa kama chambo, nyuma yake walikuwepo kina Zitto, Kitila, Mwigamba na wengineo.
Chama kimshukuru Mdee kwa kuijenga BAWACHA na yote aliyokifanyia chama lakini kitendo cha yeye kama kiongozi kukiuka maamuzi ya chama hakiwezi kuvumilika na chama kikiendelea kumlea anaweza kuambukiza mbegu ya uasi ndani ya chama na kuleta madhara makubwa โirreparableโ kwa sababu hatujui walio nyuma yake ndani na nje ya chama ni akina nani na wana nguvu kiasi gani.
Mkuu,Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu hence ya Chama, awe amefanya kwa kushinikizwa au kwa tamaa zake, kwa kitendo kile hana uhalali tena wa kuendelea kuongoza kitengo cha BAWACHA.
Mbali na kukiuka msimamo wa Chama Mdee kaonyesha tamaa na ubinafsi wa hali ya juu, kajiteua yeye wa kwanza bila aibu badala ya kuwatafuta wanawake vijana wengine ndani ya chama nao wakapate ujuzi bungeni kama yeye.
Juliana Shonza alikuwa Makamu M/kiti wa BAVICHA nakumbuka alileta vurugu kubwa ndani ya BAVICHA kiasi kwamba kuchelewa kwa chama kumfukuza ilikuwa al manusura akigawe chama, ilikuja kufahamika baadae kumbe Juliana hakuwa peke yake alikuwa ametangulizwa kama chambo, nyuma yake walikuwepo kina Zitto, Kitila, Mwigamba na wengineo.
Chama kimshukuru Mdee kwa kuijenga BAWACHA na yote aliyokifanyia chama lakini kitendo cha yeye kama kiongozi kukiuka maamuzi ya chama hakiwezi kuvumilika na chama kikiendelea kumlea anaweza kuambukiza mbegu ya uasi ndani ya chama na kuleta madhara makubwa โirreparableโ kwa sababu hatujui walio nyuma yake ndani na nje ya chama ni akina nani na wana nguvu kiasi gani.
Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu hence ya Chama, awe amefanya kwa kushinikizwa au kwa tamaa zake, kwa kitendo kile hana uhalali tena wa kuendelea kuongoza kitengo cha BAWACHA.
Mbali na kukiuka msimamo wa Chama Mdee kaonyesha tamaa na ubinafsi wa hali ya juu, kajiteua yeye wa kwanza bila aibu badala ya kuwatafuta wanawake vijana wengine ndani ya chama nje ya BAWACHA nao wakapate ujuzi bungeni kama yeye.
1. Halima Mdee - Mโkiti BAWACHA Taifa
2. Hawa Mwaifunga - Makamu Mโkiti BAWACHA.
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA.
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA.
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA.
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa.
7. Ester Matiko- Mโkiti kanda
8. Nusrat Hanje - Katibu BAVICHA
Juliana Shonza alikuwa Makamu M/kiti wa BAVICHA nakumbuka alileta vurugu kubwa ndani ya BAVICHA kiasi kwamba kuchelewa kwa chama kumfukuza ilikuwa al manusura akigawe chama, ilikuja kufahamika baadae kumbe Juliana hakuwa peke yake alikuwa ametangulizwa kama chambo, nyuma yake walikuwepo kina Zitto, Kitila, Mwigamba na wengineo.
Chama kimshukuru Mdee kwa kuijenga BAWACHA na yote aliyokifanyia chama lakini kitendo cha yeye kama kiongozi kukiuka maamuzi ya chama hakiwezi kuvumilika na chama kikiendelea kumlea anaweza kuambukiza mbegu ya uasi ndani ya chama na kuleta madhara makubwa โirreparableโ kwa sababu hatujui walio nyuma yake ndani na nje ya chama ni akina nani na wana nguvu kiasi gani.
Hakuna mtu aliyechanganyikiwa hata wakiondoka hao COVID - 19 Chadema bado ina wanachama mamilioni.tatizo lenu mnabweka tu mmechanganyikiwa,hamjui nini kimetokea mnatoa hukumu
Mdee sio chizi,subiri tamko la chama chenu badala ya kukurupuka
Mimi ndio huwa nawashangaaga chadema hapoCHADEMA hivi hakuna kitengo cha intelligence? Kama mmeshindwa si bora muwe mnamsoma Kigogo2014 kule Twitter, maana kila anachokutabiri kinatokea.
Waombeni hao wahisani wenu, wawapeleke vijana nje wakasome ujasusi.
Huwezi kuendesha taasisi kubwa bila ya kuwa kitengo imara cha kukusanya taarifa, kuzichakata na kuzitafsiri.
Information is power
Na kwa kweli.... Wanapaswa kuwa na intelligence ndani ya chama... Otherwise watalaumiana kila siku....CHADEMA hivi hakuna kitengo cha intelligence? Kama mmeshindwa si bora muwe mnamsoma Kigogo2014 kule Twitter, maana kila anachokutabiri kinatokea.
Waombeni hao wahisani wenu, wawapeleke vijana nje wakasome ujasusi.
Huwezi kuendesha taasisi kubwa bila ya kuwa kitengo imara cha kukusanya taarifa, kuzichakata na kuzitafsiri.
Information is power
wewe na halima nani ana uchungu na chadema?Hakuna mtu aliyechanganyikiwa hata wakiondoka hao COVID - 19 Chadema bado ina wanachama mamilioni.
Unafikiri hao Chademavirus 19 (CDMV19) wamejifikisha wao hapo walipo, kuna wanachama sio tu wamafungwa bali walikufa kwa ajili yao, bila wanachama wape muda kama utawasikia tena watabaki kama Mrema na Lipumba.wewe na halima nani ana uchungu na chadema?
Kwa mwaka 2020,mh halima ndio kiongozi pekee aliepata misukosuko kuliko kiongozi yoyote wa chadema,kufungiwa bungeni,kesi mahakamani,misukosuko ya kutiwa ndani halafu wewe eti unamuita COVID 19,
Unadhani Maria anafanya ile kazi bure? Acha utani basi mkuu!!400m si mchezo, ila kuna watu wenye misimamo unadhani Maria Sarungi au Fatma Karume hawajahongwa vyeo au pesa mbona bado wana misimamo yao.
Wacha BwanaHakuna mtu aliyechanganyikiwa hata wakiondoka hao COVID - 19 Chadema bado ina wanachama mamilioni.
Swadakta mkuuHuyo ndiyo hasa liability kwa chadema. Hakuwa na mpango mkakati wa kugombea, alitegemea nguvu ya Amsterdam na wajinga wachache wa kizungu. Amsterdam aliamini Tanzania ๐น๐ฟ inaweza kuyumba kama walivyo yumbusha nchi za kiarabu na sehemu ya afrika.Lissu alijiona ni zaidi ya chama kumbe ni ghalasha na sasa wenye chama wana dictate terms
Wewe ni nani kwenye Saccos ya Chadema? Tuliza mshono dada!Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu hence ya Chama, awe amefanya kwa kushinikizwa au kwa tamaa zake, kwa kitendo kile hana uhalali tena wa kuendelea kuongoza kitengo cha BAWACHA.
Mbali na kukiuka msimamo wa Chama Mdee kaonyesha tamaa na ubinafsi wa hali ya juu, kajiteua yeye wa kwanza bila aibu badala ya kuwatafuta wanawake vijana wengine ndani ya chama nje ya BAWACHA nao wakapate ujuzi bungeni kama yeye.
1. Halima Mdee - Mโkiti BAWACHA Taifa
2. Hawa Mwaifunga - Makamu Mโkiti BAWACHA.
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA.
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA.
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA.
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa.
7. Ester Matiko- Mโkiti kanda
8. Nusrat Hanje - Katibu BAVICHA
Juliana Shonza alikuwa Makamu M/kiti wa BAVICHA nakumbuka alileta vurugu kubwa ndani ya BAVICHA kiasi kwamba kuchelewa kwa chama kumfukuza ilikuwa al manusura akigawe chama, ilikuja kufahamika baadae kumbe Juliana hakuwa peke yake alikuwa ametangulizwa kama chambo, nyuma yake walikuwepo kina Zitto, Kitila, Mwigamba na wengineo.
Chama kimshukuru Mdee kwa kuijenga BAWACHA na yote aliyokifanyia chama lakini kitendo cha yeye kama kiongozi kukiuka maamuzi ya chama hakiwezi kuvumilika na chama kikiendelea kumlea anaweza kuambukiza mbegu ya uasi ndani ya chama na kuleta madhara makubwa โirreparableโ kwa sababu hatujui walio nyuma yake ndani na nje ya chama ni akina nani na wana nguvu kiasi gani.
CHADEMA hivi hakuna kitengo cha intelligence? Kama mmeshindwa si bora muwe mnamsoma Kigogo2014 kule Twitter, maana kila anachokutabiri kinatokea.
Waombeni hao wahisani wenu, wawapeleke vijana nje wakasome ujasusi.
Huwezi kuendesha taasisi kubwa bila ya kuwa kitengo imara cha kukusanya taarifa, kuzichakata na kuzitafsiri.
Information is power
Kasaliti chama.Eti amekusaliti, Halima amekusaliti nini wewe ? Kwanza hakujui anawezaje kukusaliti ?