Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

Yani sijui ninjaa au tamaa
 
Ni wasanii kama NEC ambao tarehe 20/11/2020 walidai mpaka tarehe hiyo walikuwa hawajapokea majina kutoka CHADEMA, halafu leo wanafuta maneno yao wakisahau kuwa walikwua recorded kwenye video eti wanasema walipokea majina ya akina Halima tarehe 19/11/2020.

Kweli kila mtu ni msanii
 
NEC DPP na Bunge wameumbuka!! Aibi tupu
. Hata hao wahisani watawaona hamnazo
.dili za kitotoo
 
Dar usiwe na maamuzi ya haraka. Utagongwa na treni ya Mwakyembe
 
Kura zimevurugwa nchi nzima. Na Leo hii wale mlioapa kutokuwa Jimbo hata moja. Ndiyo hao mnawapigania kwa udi na uvumba wapate viti maalumu . Spika kasema atawalinda kwa gharama yoyote .

Chagu huko ndiko waliko wahuni. Wanaoweza kumtoa mtu Jela usiku. Na asubuhi yake akawa mheshimiwa mbunge aliyekidhi vigezo !!. Uhuni ni uhuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…