Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya .
Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.
Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya kufukuzwa uanachama hivo wanajua kuwa sio wabunge tena labda wawe wabunge wa Ndugai.
Tetesi zilizopo ni kuwa Halima Mdee na wenzake wanataka kukimbilia ACT - Wazalendo ili wakapate nafasi katika Mabaraza yao kiuongozi athari zake tutajulisha mbele kwa nini wanataka kwenda ACT Wazalendo na sio vyama vingine.
Baada ya ACT kufyata mkia imeonekana watafanya kazi na Meko hata ikifika 2025 na Mungu amewaweka hai watagombea ubunge katika majimbo yao kikubwa kitachofanyika ni amri ya Tangaza hata kama hajashinda ...kama wengi mlivyoona uchaguzi wa 2020 ndo utakuwa wa 2025 pia.
Tetegemee siasa zinazoendelea kudumaza demokrasia zaidi.
Siasa na uchafu wake, wachafu wameingia kwenye mtego.