Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

Hapo Mbowe hawezi kukubali maana kwa kila mbunge anakusanya mmoja kwa wabunge 20 ana m 20 bila jacho.

Unadhani mchaga yule na kukosa ubunge anakiwa na mahasara kibao kwenye makampuni yake ya utalii na hoteli anaweza kuiacha hii pesa kisa eti kuna kina pambaruuuuu wanapiga kelele
Mataga bila kumtaja Mbowe hamsurvive?
 
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya .

Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.

Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya kufukuzwa uanachama hivo wanajua kuwa sio wabunge tena labda wawe wabunge wa Ndugai.

Tetesi zilizopo ni kuwa Halima Mdee na wenzake wanataka kukimbilia ACT - Wazalendo ili wakapate nafasi katika Mabaraza yao kiuongozi athari zake tutajulisha mbele kwa nini wanataka kwenda ACT Wazalendo na sio vyama vingine.

Baada ya ACT kufyata mkia imeonekana watafanya kazi na Meko hata ikifika 2025 na Mungu amewaweka hai watagombea ubunge katika majimbo yao kikubwa kitachofanyika ni amri ya Tangaza hata kama hajashinda ...kama wengi mlivyoona uchaguzi wa 2020 ndo utakuwa wa 2025 pia.

Tetegemee siasa zinazoendelea kudumaza demokrasia zaidi.

Siasa na uchafu wake, wachafu wameingia kwenye mtego.
Act hawatakuwa wabunge tena😬😬
 
Hata Lowassa Chadema walidai kaanzisha ACT ataaenda ACT ila ukweli ukawa tofauti, jamani ipumzisheni ACT kila chama kifanye siasa jinsi kinavyoona ingekuwa lengo ni kufanya siasa zinazofanana basi hivyo vyama visingekuwepo.
 
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya .

Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.

Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya kufukuzwa uanachama hivo wanajua kuwa sio wabunge tena labda wawe wabunge wa Ndugai.

Tetesi zilizopo ni kuwa Halima Mdee na wenzake wanataka kukimbilia ACT - Wazalendo ili wakapate nafasi katika Mabaraza yao kiuongozi athari zake tutajulisha mbele kwa nini wanataka kwenda ACT Wazalendo na sio vyama vingine.

Baada ya ACT kufyata mkia imeonekana watafanya kazi na Meko hata ikifika 2025 na Mungu amewaweka hai watagombea ubunge katika majimbo yao kikubwa kitachofanyika ni amri ya Tangaza hata kama hajashinda ...kama wengi mlivyoona uchaguzi wa 2020 ndo utakuwa wa 2025 pia.

Tetegemee siasa zinazoendelea kudumaza demokrasia zaidi.

Siasa na uchafu wake, wachafu wameingia kwenye mtego.
Waende tu hawana faida yoyote
 
Sio sasa labda 2025, saivi wasile M11 per monthly wakapige miayo ACT. Watakuwa vichaa
 
Ya 2025 nani ajuaye labda huyo meko wenu atakuwa keshafutika humu duniani na siasa za Tanzania kuwa zimebadilika kabisa.

Kwa Mungu hakuna cha mimi ni mfalme au mimi ni mswaga ng'ombe nyote ni droo.
 
Yangu [emoji102]
FB_IMG_16071684042888993.jpg
 
Back
Top Bottom