Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

mzee baba ulikuwa unamkubali sana Halima, umemtetea sana humu Jf
Hata Mimi nilimkubali Sana Halima, nilimtangaza Kama mwanamke shujaa wa nchi hii, nilimtumia Kama mfano kuinspire wasichana wadogo na wanawake kwa ujumla, nilitamani angekuwa dada,shangazi ama mama yangu. Nilipoona hayo hayawezekani nikatamani angekuwa mke wangu, kilichotokea Dodoma kilinikumbusha kauli,"Usifanye dili na mwanamke"
 
Deadline yao ni tarehe 29/12/2020 kwa mjibu wa katiba ya CHADEMA. Siku zinahesabika kuanzia tarehe ya kupokelewa kwa barua rasmi ya kuwajulisha kufukuzwa kwenye chama na sababu ya kufukuzwa.

Alternative ya kukataa rufaa kwenye baraza la chama chao si kuhamia ACT bali ni kupinga maamuzi hayo mahakamani. The best alternative ni mahakamani na wala siyo kwenye hilo baraza la chama ambalo linaongozwa na hao hao wa kamati kuu waliowafukuza.
Hawatakuwa wakwanza kuwa wabunge wa Mahakama...

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Siasa sio mbaya ila wanasiasa ndo wabaya .

Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.

Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya kufukuzwa uanachama hivo wanajua kuwa sio wabunge tena labda wawe wabunge wa Ndugai.

Tetesi zilizopo ni kuwa Halima Mdee na wenzake wanataka kukimbilia ACT -Wazalendo ili wakapate nafasi katika mabaraza yao kiuongozi ..athari zake tutajulisha mbele kwa nini wanataka kwenda ACT Wazalendo na sio vyama vingine.

Baada ya ACT kufyata mkia imeonekana watafanya kazi na Meko hata ikifika 2025 na Mungu amewaweka hai watagombea ubunge katika majimbo yao kikubwa kitachofanyika ni amri ya Tangaza hata kama hajashinda ...kama wengi mlivyoona uchaguzi wa 2020 ndo utakuwa wa 2025 pia..

Tetegemee siasa zinazoendelea kudumaza demokrasia zaidi..
Siasa na uchafu wake ,wachafu wameingia kwenye mtego.
Wacha wakaungane na wenzao wafia matumbo badala ya kuwapigania wananchi
 
Yaani huko ACT waende kiroho safi hakuna mwenye tatizo na wao. Ila kupata wapiga kura wa ukweli kupitia upinzani watasubiri sana.
Wametuachia vidonda visivyo sahaulika
 
Hapo mbowe hawezi kukubari maana kwa kila mbunge anakusanya m1 kwa wabunge 20 ana m 20 bila jacho.

Unadhani mchaga yule na kukosa ubunge anakiwa na mahasara kibao kwenye makampuni yake ya utalii na hoteli anaweza kuiacha hii pesa kisa eti kuna kina pambaruuuuu wanapiga kelele
Utoto mtupu ngonjera hizohizo tu kila siku....hamna propaganda mpya ni utoto uleule kama wanafunzi wa baby class
 
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndo wabaya .

Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.

Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya kufukuzwa uanachama hivo wanajua kuwa sio wabunge tena labda wawe wabunge wa Ndugai.

Tetesi zilizopo ni kuwa Halima Mdee na wenzake wanataka kukimbilia ACT - Wazalendo ili wakapate nafasi katika Mabaraza yao kiuongozi athari zake tutajulisha mbele kwa nini wanataka kwenda ACT Wazalendo na sio vyama vingine.

Baada ya ACT kufyata mkia imeonekana watafanya kazi na Meko hata ikifika 2025 na Mungu amewaweka hai watagombea ubunge katika majimbo yao kikubwa kitachofanyika ni amri ya Tangaza hata kama hajashinda ...kama wengi mlivyoona uchaguzi wa 2020 ndo utakuwa wa 2025 pia.

Tetegemee siasa zinazoendelea kudumaza demokrasia zaidi.

Siasa na uchafu wake ,wachafu wameingia kwenye mtego.
Acha unafiki watu wako kazini kama wewe unavyo amka kwenda kusaka tonge

Pita kushoto uendelee na maisha yako na uache ya wengine,kweni wewe uko dunia gani usijue kwamba watu wako busy kutafuta pesa?
 
Hapo mbowe hawezi kukubari maana kwa kila mbunge anakusanya m1 kwa wabunge 20 ana m 20 bila jacho.

Unadhani mchaga yule na kukosa ubunge anakiwa na mahasara kibao kwenye makampuni yake ya utalii na hoteli anaweza kuiacha hii pesa kisa eti kuna kina pambaruuuuu wanapiga kelele
Wachukue na wewe upate hizo mil 20.
 
Back
Top Bottom