Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

Nasikia alikuoa anapiga mashine balaa so umejindaa kuolewa na nan?
Yap, nilikuwa namkubali sana akiwa cdm, baada ya hapo mimi na yeye ndoa imevunjika rasmi.
 
Deadline yao ni tarehe 29/12/2020 kwa mjibu wa katiba ya CHADEMA. Siku zinahesabika kuanzia tarehe ya kupokelewa kwa barua rasmi ya kuwajulisha kufukuzwa kwenye chama na sababu ya kufukuzwa.

Alternative ya kukataa rufaa kwenye baraza la chama chao si kuhamia ACT bali ni kupinga maamuzi hayo mahakamani. The best alternative ni mahakamani na wala siyo kwenye hilo baraza la chama ambalo linaongozwa na hao hao wa kamati kuu waliowafukuza.
 
Kama Magufuli alitumia billions kuhakikisha hawapati ubunge, hayo mahaba ya ghafla yanatoka wapi?
 
Tabia haina dawa.

Waache wakaliunge na wasaliti wa maridhiano huko....

Wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya hawana nafasi na hawapaswi kuaminiwa na wananchi.
 
Tabia haina dawa.

Waache wakaliunge na wasaliti wa maridhiano huko.

Wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya hawana nafasi na hawapaswi kuaminiwa na wananchi.
 
Yap, nilikuwa namkubali sana akiwa cdm, baada ya hapo mimi na yeye ndoa imevunjika rasmi.
Nipo na halima hapa anasema hawajapokea barua yeyote ya kimaandish kuwa wamefukuzwa n hawafanyii kaz kelele za mtandaoni[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Halima Mdee ni chadema tu, akienda chama chengine chochote hawezi tena kuwa Halima Mdee, Si dhani kama Zitto Kabwe atawakubali hawa kuja ACT,

kwa lugha nyepesi Mdee na wenzake ndo kwisha tena habari yao, wataenda kuunga msururu na foleni ya kusubiri ajira kutoka ccm kama wenzao waliotangulia akina Mashinji, Kafulila, Moses machali, mtatiro, nassari na wenzao wengine tele
 
Kajifunze kuandika kwanza, ndio uje umjadili Mbowe.
 
Tetesi zilizopo ni kuwa Halima Mdee na wenzake wanataka kukimbilia ACT -Wazalendo ili wakapate nafasi katika mabaraza yao kiuongozi
Waende act ili wapoteze ubunge wao kirahisi hivyo?

Kwa kuwa ni tetesi, basi ngoja tusubiri reality ije ndo tutoe judgement.
 
CDM ndiyo inakufaa hiyo! Na naiona ACT kua Chama kikuu Cha Upinzani very soon!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hata wakikimbilia mahakamani haitakuwa solution ya kudumu, watapoteza muda tu kwa kesi kuahirishwa mwisho wa siku wamalizie "ubunge" wao kwa ulinzi wa Ndugai, but siku hiyo kesi ikiisha mahakamani ndio na wao watakuwa wameondoka rasmi Chadema.
 
Nipo na halima hapa anasema hawajapokea barua yeyote ya kimaandish kuwa wamefukuzwa n hawafanyii kaz kelele za mtandaoni[emoji16][emoji16][emoji16]
Wacha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Nipo na halima hapa anasema hawajapokea barua yeyote ya kimaandish kuwa wamefukuzwa n hawafanyii kaz kelele za mtandaoni[emoji16][emoji16][emoji16]

Wapewe barua na nani?
 
BON VOYAGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…