Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

mzee baba ulikuwa unamkubali sana Halima, umemtetea sana humu Jf
Hata Mimi nilimkubali Sana Halima, nilimtangaza Kama mwanamke shujaa wa nchi hii, nilimtumia Kama mfano kuinspire wasichana wadogo na wanawake kwa ujumla, nilitamani angekuwa dada,shangazi ama mama yangu. Nilipoona hayo hayawezekani nikatamani angekuwa mke wangu, kilichotokea Dodoma kilinikumbusha kauli,"Usifanye dili na mwanamke"
 
Hawatakuwa wakwanza kuwa wabunge wa Mahakama...

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Wacha wakaungane na wenzao wafia matumbo badala ya kuwapigania wananchi
 
Yaani huko ACT waende kiroho safi hakuna mwenye tatizo na wao. Ila kupata wapiga kura wa ukweli kupitia upinzani watasubiri sana.
Wametuachia vidonda visivyo sahaulika
 
Utoto mtupu ngonjera hizohizo tu kila siku....hamna propaganda mpya ni utoto uleule kama wanafunzi wa baby class
 
Acha unafiki watu wako kazini kama wewe unavyo amka kwenda kusaka tonge

Pita kushoto uendelee na maisha yako na uache ya wengine,kweni wewe uko dunia gani usijue kwamba watu wako busy kutafuta pesa?
 
Wachukue na wewe upate hizo mil 20.
 
Mayala=Njaa sio kitu cha mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…