Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

Mataga bila kumtaja Mbowe hamsurvive?
 
Act hawatakuwa wabunge tena😬😬
 
Hata Lowassa Chadema walidai kaanzisha ACT ataaenda ACT ila ukweli ukawa tofauti, jamani ipumzisheni ACT kila chama kifanye siasa jinsi kinavyoona ingekuwa lengo ni kufanya siasa zinazofanana basi hivyo vyama visingekuwepo.
 
Waende tu hawana faida yoyote
 
Sio sasa labda 2025, saivi wasile M11 per monthly wakapige miayo ACT. Watakuwa vichaa
 
Ya 2025 nani ajuaye labda huyo meko wenu atakuwa keshafutika humu duniani na siasa za Tanzania kuwa zimebadilika kabisa.

Kwa Mungu hakuna cha mimi ni mfalme au mimi ni mswaga ng'ombe nyote ni droo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…