Mkiambiwa mtoke mkaandamane tu kuonesha kudai haki kwa vitendo hamtoki mnaendelea kujificha tu humu JF halafu leo watu ambao wameshapigwa na kulala jela kwa kudai haki unawaita wasaliti bila aibu.
Watasusia na hii labda. Huwezi kukataa kugonga kitimoto ila mchuzi ukautakaMkuu hapo itakuaje kuhusu ruzuku,cdm itaendelea kuchukua kipindi chote iko au vipi?
Waafrika tumezoa kulalamika na ndio maana hata hiyo serikali nayo huo wanatupia lawama kwa wazungu kwa baadhi ya mambo.Unadhani wanaosema hivyo wanabahatisha? Na ushahidi wa mambo hayo uko wazi.
kuwa mfuasi wa chadema kunahitaji sana moyo
Kuna mke wa Salum Mwalimu,kuna Mke wa Kigaila,kuna Mke wa John Mrema katika hao wabunge 19,na hao makamanda ni vibaraka wakubwa sana wa Mbowe,in maana nyumbu hawajui kwamba hapo hafukuzwi mtu?
Watasusia na hii labda. Huwezi kukataa kugonga kitimoto ila mchuzi ukautaka
Wewe wamekuambia watakataa?Wamekuambia watachukua?
Umbea utakuumizaNi noma sana Hahah nasikia Wajumbe wamekula kona
Wapi Lema? wapi Msigwa? Wapi Kigaila? Wap Makene? Wap Mwalimu salum?
Wote wameingia mitini[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kama Mdee, Ester(s) wameweza, je nawe 'Erythro' unaweza?Unajidhalilisha bure tu
Hii habari ya akina Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko..., haya ni matokeo ya udhaifu mkubwa ndani ya chama, au ni mwendelelzo wa tabia ya unafiki tuliyonayo waTanzania?Sina hasira nakutoa uzalendo uchwara.
Rist au code za muamala unazo? Maana Sasa mahakama itaaminije kuwa ulichangia bila kuwa na vidhibitisho?Mkuu warudishe tu,mazalau hayavumiliki, mdee ,bulaya mkifukuzwa leo ,kufika next week kila mmoja arudishe fain uliolipiwa kutoka kwa wanachama na wasio wanachama, kwenye account ya CHADEMA, tuliwachangia kwa kupigania haki ,na matatizo yenu yalitugusa mmoja kwa moja, kupitia mlengo wa haki Sasa mmetuona matahila,wajinga, rudisheni iyo pesa vinginevyo sie wapenda haki,tutakutana na wanasheria Kama wataridhia tutawaburuza mahakamani ,mpaka mziteme hizo fedha maana mmekiuka mkataba wa ufadhili huu, Kama mbwai mbwai
Naona mnaitafuta damu ya waTanzania kwa kila njia iwezekanayo, je, mtaimwaga kweli?Mkiambiwa mtoke mkaandamane tu kuonesha kudai haki kwa vitendo hamtoki mnaendelea kujificha tu humu JF halafu leo watu ambao wameshapigwa na kulala jela kwa kudai haki unawaita wasaliti bila aibu.
Hata hii haha yako nahisi ni karma kabisa. Sioni sababu yoyote ya msingi mambo ya chadema kukufanya ukose utulivu namna hii.Mimi nimewapa angalizo la bakora za karmaMakamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...www.jamiiforums.com
P
Ndio umetumwa kuja kutapika hapa?Mwenyekiti Mbowe alipaswa ajiuzulu mapema kabisa ili kulinda heshima ya chama lkn mpaka sasa yupo ktk nafasi hii kwakweli hutumuelewi kabisaa!
yeye ndiye chanzo cha haya yote
Sidhani kama mnaweza kukata hiyo sapoti japo ya mitandaoni tu,walibadili gear angani kitu ambacho hamkudhani kama wangethubutu hata kufikiria hivyo ila mwishoni mkaishia kupiga deki.
Waafrika tumezoa kulalamika na ndio maana hata hiyo serikali nayo huo wanatupia lawama kwa wazungu kwa baadhi ya mambo.