Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mkiambiwa mtoke mkaandamane tu kuonesha kudai haki kwa vitendo hamtoki mnaendelea kujificha tu humu JF halafu leo watu ambao wameshapigwa na kulala jela kwa kudai haki unawaita wasaliti bila aibu.

Ukiona wanakufaa ungana nao.

Hawafai kwa lolote lile.
 
Unadhani wanaosema hivyo wanabahatisha? Na ushahidi wa mambo hayo uko wazi.
Waafrika tumezoa kulalamika na ndio maana hata hiyo serikali nayo huo wanatupia lawama kwa wazungu kwa baadhi ya mambo.
 
kuwa mfuasi wa chadema kunahitaji sana moyo
Kuna mke wa Salum Mwalimu,kuna Mke wa Kigaila,kuna Mke wa John Mrema katika hao wabunge 19,na hao makamanda ni vibaraka wakubwa sana wa Mbowe,in maana nyumbu hawajui kwamba hapo hafukuzwi mtu?

Wewe mkeo yumo kwenye hao 19?
 
1606475645174.png
 
Ni noma sana Hahah nasikia Wajumbe wamekula kona

Wapi Lema? wapi Msigwa? Wapi Kigaila? Wap Makene? Wap Mwalimu salum?

Wote wameingia mitini[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Umbea utakuumiza
 
Unajidhalilisha bure tu
Kama Mdee, Ester(s) wameweza, je nawe 'Erythro' unaweza?

Hawa watu wamepewa nini?
Sina hasira nakutoa uzalendo uchwara.
Hii habari ya akina Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko..., haya ni matokeo ya udhaifu mkubwa ndani ya chama, au ni mwendelelzo wa tabia ya unafiki tuliyonayo waTanzania?

Hakuna jambo lolote tunaloweza kulisimamia na kujitoa kwa kila kitu kulisimamia?

Wametoa maelezo yoyote kwa nini wamechukua hatua ya ajabu kiasi hiki, ya kusaliti kila kitu walichodhaniwa wanakisiamamia?
 
Mkuu warudishe tu,mazalau hayavumiliki, mdee ,bulaya mkifukuzwa leo ,kufika next week kila mmoja arudishe fain uliolipiwa kutoka kwa wanachama na wasio wanachama, kwenye account ya CHADEMA, tuliwachangia kwa kupigania haki ,na matatizo yenu yalitugusa mmoja kwa moja, kupitia mlengo wa haki Sasa mmetuona matahila,wajinga, rudisheni iyo pesa vinginevyo sie wapenda haki,tutakutana na wanasheria Kama wataridhia tutawaburuza mahakamani ,mpaka mziteme hizo fedha maana mmekiuka mkataba wa ufadhili huu, Kama mbwai mbwai
Rist au code za muamala unazo? Maana Sasa mahakama itaaminije kuwa ulichangia bila kuwa na vidhibitisho?
 
Usalama kwanini wasimuombe rafiki yao Sirro awasindikize?
 
Mwenyekiti Mbowe alipaswa ajiuzulu mapema kabisa ili kulinda heshima ya chama lkn mpaka sasa yupo ktk nafasi hii kwakweli hutumuelewi kabisaa!
yeye ndiye chanzo cha haya yote
 
Mkiambiwa mtoke mkaandamane tu kuonesha kudai haki kwa vitendo hamtoki mnaendelea kujificha tu humu JF halafu leo watu ambao wameshapigwa na kulala jela kwa kudai haki unawaita wasaliti bila aibu.
Naona mnaitafuta damu ya waTanzania kwa kila njia iwezekanayo, je, mtaimwaga kweli?

Inawaumiza sana kutopata watu wa kuwaua?
 
Mimi nimewapa angalizo la bakora za karma
P
Hata hii haha yako nahisi ni karma kabisa. Sioni sababu yoyote ya msingi mambo ya chadema kukufanya ukose utulivu namna hii.
 
Mwenyekiti Mbowe alipaswa ajiuzulu mapema kabisa ili kulinda heshima ya chama lkn mpaka sasa yupo ktk nafasi hii kwakweli hutumuelewi kabisaa!
yeye ndiye chanzo cha haya yote
Ndio umetumwa kuja kutapika hapa?

Mbowe ataondoka akichoka mwenyewe, waambie na wenzako.
 
Sidhani kama mnaweza kukata hiyo sapoti japo ya mitandaoni tu,walibadili gear angani kitu ambacho hamkudhani kama wangethubutu hata kufikiria hivyo ila mwishoni mkaishia kupiga deki.

Tafuta popote nilipowahi kukubali ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Ukipapata uje na mrejesho. Tazama baada ya Lowassa kuletwa, kama uchaguzi huu viongozi wachache ndio waliamua nani awe kiongozi.
 
Waafrika tumezoa kulalamika na ndio maana hata hiyo serikali nayo huo wanatupia lawama kwa wazungu kwa baadhi ya mambo.

Bali ukweli unapovikwa nguo ya malalamiko ili kuufunika. Ni hivi, jitahidi kutenganisha ukweli na malalamiko.
 
Back
Top Bottom