Mkuu warudishe tu,mazalau hayavumiliki, mdee ,bulaya mkifukuzwa leo ,kufika next week kila mmoja arudishe fain uliolipiwa kutoka kwa wanachama na wasio wanachama, kwenye account ya CHADEMA, tuliwachangia kwa kupigania haki ,na matatizo yenu yalitugusa mmoja kwa moja, kupitia mlengo wa haki Sasa mmetuona matahila,wajinga, rudisheni iyo pesa vinginevyo sie wapenda haki,tutakutana na wanasheria Kama wataridhia tutawaburuza mahakamani ,mpaka mziteme hizo fedha maana mmekiuka mkataba wa ufadhili huu, Kama mbwai mbwai