Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Trillion mbili za mabeberu zinawatoa jasho CCM kutaka kuunda Kambi rasmi Bungeni kwa nguvu.

Habari mbaya ni kwamba wote 19 wanajivua ubunge rasmi leo.

Stay turned!!
Ubunge wao utakoma 2025!
 
Sisi tunataka wafukuzwe CHADEMA tu hayo mengine watajuana na Ndugai
 
Sisi tunataka wafukuzwe CHADEMA tu hayo mengine watajuana na Ndugai
 
Mbona tumesema mapema kuwa quorum hatatimia? Huo ndio uzuri wa siasa kwa wale wanaojua kuucheza, Halima mwanasiasa mzoefu bhana. Imetoka hiyo
 
Lamda sio kwa hii chadema ninaehijua

Wakifukuzwa unitag mkuu
 
Taarifa zitatolewa hivi punde kitafanyika kwa njia ya kidigital (zoom) wanakamilisha kuset mitambo.
 
Ila dunia hakuna wanachama wavumilivu kama chadema wao msemaji mkuu mbowe tu hakuna mwingine na vice versa
 
Hawa si wasaliti wamekwamisha/komesha biashara ya siasa ya middleman ya Mbowe na genge lake ndani ya cdm. Serikali inawajibu wa kuwapa undercover ulinzi hawa Wamama wa cdm. Wameamua uzalendo na kuvua kongwa la utumwa wa akili kutoka kwa mabeberu na vibaraka wao Lissu na genge lake.
 
... duh! Kwamba zaidi ya nusu ya wajumbe (akidi) wa Kamati Kuu ni wasaliti? Basi chama kimetekwa rasmi na manyang'au!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…