Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sofia Mwakagenda!Hilda Mwakagenda
Ubunge wao utakoma 2025!Trillion mbili za mabeberu zinawatoa jasho CCM kutaka kuunda Kambi rasmi Bungeni kwa nguvu.
Habari mbaya ni kwamba wote 19 wanajivua ubunge rasmi leo.
Stay turned!!
Sisi tunataka wafukuzwe CHADEMA tu hayo mengine watajuana na NdugaiChama chako hakitambui uchaguzi mkuu uliofanyika October 2020 na kinataka uchaguzi urudiwe. Kama msimamo wa chama ni kurudiwa kwa uchaguzi, Mnalia haki viti 19 vya uchaguzi upi?
Maana yake vikao walioka kamati kuu yenu kuazimia kutoutambua uchaguzi na kuweka msimamo wao urudiwe, ninyi mmepuuza vikao hivyo. Hamfai kabisa mnasukumwa na tamaa zenu za madaraka mnarudusha juhudi za chama chenu nyuma kupambania haki za watanzania.
Sisi tunataka wafukuzwe CHADEMA tu hayo mengine watajuana na NdugaiMie naona wabunge wote sasa ni CCM, ambao ilipaswa chadema ipeleke hawakupeleka, hivyo mamlaka ikaamua kuokoteza wanachama wa chadema na kujaza nafasi, wakikiuka taratibu kadhaa.
Sijui nini kitafuata iwapo sasa chadema wakiamua kupeleka wabunge wa viti maalumu, ambao watafuata taratibu? Watakataliwa? Mdee kawa mbunge vipindi kadhaa, leo anashindwa vumilia na kuyapa nafasi maamuzi ya chama! Je, ni kweli uwezi ishi bila kuwa mbunge? Basi hauna dhamani!
Ukimaliza kutukana kunywa soda moja bariiiidi ujipongezeJamaa umepoteza kabisa uwezo wa kufikiri na hata kutabiri
Pole mkuu ukichaa utawamaliza hapo Ufipani republic🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Kwani wewe ni nani?Lamda sio kwa hii chadema ninaehijua
Wakifukuzwa unitag mkuu
... duh! Kwamba zaidi ya nusu ya wajumbe (akidi) wa Kamati Kuu ni wasaliti? Basi chama kimetekwa rasmi na manyang'au!Hadi sasa haieleweki kama kikao hicho kitafanyika ama la kadhalika uhakika wa akidi kutimia unatia shaka.
Ufipa hali ni shwari na kuna vijana wachache wa Bavicha ambao kimsingi hawatoi taarifa kama kikao kitakuwepo na kitafanyikia wapi zaidi ya kuwataka wanachama wawe na subira.
Ngoja tuone muda ndio msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!