Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Aliamua kuanza na hili wakati hili halina hata mwaka, aache hilo gonjwa lenye miaka? Uza ubongo huo maana unachekesha walionuna.

Kwa hiyo wewe unataka kupima efficiency ya Rais kupitia HIV?

Waambie vijana wafanye kazi za kukuza uchumi zaidi ya kufanya mapenzi, na wapoamua kuanzisha mahusiano wapime kwanza na kuchukua tahadhari.

Harakati zinaendelea
Rais aliamua aanza na hili lililokua limebeba propaganda za kutumaliza kwa kwa kasi
Mwambie atumie nguvu hizo hizo kufukuza ukimwi.
COVID 19 ilishafukuzwa na rais John Pombe Joseph Magufuli tangu March 2020
Halima na wenzie 18 watamalizana bungeni hawataki maneno
 
Mkuu Return Of Undertaker lini utaachana na unafiki wa kuamini kuwa migogoro ndani ya CHADEMA ina mkono wa Serikali?

Naamini wewe ni mtu mzima unajua Halima na wenzake ni wanawake ambao kipindi chao cha uongozi wameoesha kujitegemea kimawao ati leo waitegemee Serikali ambayo wameilaumu na kuikashifu muda wote.
Kwahiyo Mdee alimfutia kesi Nusrat na kesho yake akaenda kuapa?

Hapo tu ndipo mlipoharibu movie nzima
 
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.

Tulishawaambia hiki ni kikundi cha magaidi. CCM huwezi kuona upupu.
 
Wameshakwenda sasa. Mezeni Nyembe.Hata mkiwafukuza uanachama ni sawa na bure. Maana hapa Tanzania. Speaker anapendekezwa na Rais/mwenyekiti wa chama. Jaji mkuu anateuliwa na Rais/mwenyekiti wa chama. Kwa taarifa yako JPM ndo katiba ndo sheria. Mnakumbuka yule mbunge wa Kutoka Mtwara mlivyomfukuza uaanachama what happened ?

Hakufukuzwa bali alijiondoa cdm. Hilo la kuwa Magufuli ndio katiba na sheria linaeleweka, lakini kuna ambao hawaamini sasa hivi tunawadhibitishia. Tunataka waendelee kuwa wabunge lakini sio kwa jina la cdm. Kama Magufuli ndio katiba na sheria, hao wabunge wanatakiwa Wanini, wakati tayari rais ndio anaamua kila kitu?
 
Kuwafukuza hawa kuna hasara kwa CHADEMA zaidi ya faida. Basically hawa haiwezekani tena kuwaondoa bungeni kwa muda huu.

Regardless wamekwendaje kule, CHADEMA inapaswa kumaximize uwepo wao Bungeni. Ndani ya chama bila shaka kuna kiongozi mmoja au wawili wamewezesha hili kufanyika baada ya kupiga hesabu kali. Mbowe yu wapi?

Tukiacha ushabiki wa kwenye social media, kuna maisha baada ya uchaguzi na lazima chama kiendelee kuwepo - financially

Kabla hujapost na kudai wafukuzwe tu ili “kuleta heshima” jiulize maswali haya

1) Unapenda CHADEMA pia ikatae Ruzuku kwa kuwa zitakuwa ni zao la tunda haramu?
2) Wakifukuzwa ila Bunge/Mahakama ikawalinda, CHADEMA isiwatambue na ikate pia kupokea ile michango kutoka kwenye salary ya kila mbunge?
3) Wewe binafsi umeshawahi kuichangia CHADEMA shilingi ngapi?
 
Chama chako hakitambui uchaguzi mkuu uliofanyika October 2020 na kinataka uchaguzi urudiwe. Kama msimamo wa chama ni kurudiwa kwa Uchaguzi, Mnalia haki viti 19 vya Uchaguzi upi?

Maana yake vikao walioka kamati kuu yenu kuazimia kutoutambua uchaguzi na kuweka msimamo wao urudiwe, ninyi mmepuuza vikao hivyo. Hamfai kabisa mnasukumwa na tamaa zenu za madaraka mnarudusha juhudi za chama chenu nyuma kupambania haki za watanzania.

Hakuna chama kinapigania haki ya mtanzania.
Vyama vyote na wanachama wake ni ajira tosha wanatafuta kula kushibisha fwao na familia zao..
Hizo ajenda et tunawatetea wananchi ni kuchezeana akili tu.
 
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.

Na huyo alieshika bango la Covid ni mwanamke pia??
 
Weee bado kumbe unaumwa ukimwiii?? Poleee. Michepuko siodiliii, baki njia kuuu.

Ati anataka kupima efficiency ya Rais kupitia HIV🤔🤔🤔

Aende akaambie vijana wafanye kazi za kukuza uchumi zaidi ya kufanya mapenzi, na wanapoamua kuanzisha mahusiano wapime kwanza na kuchukua tahadhari.
 
Mbona tumesema mapema kuwa quorum hatatimia? Huo ndio uzuri wa siasa kwa wale wanaojua kuucheza, Halima mwanasiasa mzoefu bhana. Imetoka hiyo
Hii ni dunia ya Zoom na Teams. Hata Makamu Mwenyekiti na Lema watahudhuria.

Amandla...
 
Kwa hiyo wewe unataka kupima efficiency ya Rais kupitia HIV?

Waambie vijana wafanye kazi za kukuza uchumi zaidi ya kufanya mapenzi, na wapoamua kuanzisha mahusiano wapime kwanza na kuchukua tahadhari.

Kwani kwenye corona alikuwa na efficiency ipi? Nani kakuambia HIV. Inapatikana kwa kufanya ngono tu?
 
Siasa ya ajabu kweli..hawa si ndio waliwatukana wabunge waliohamia CCM kipindi karibu na uchaguzi.
 
Hili bango lina consequences zake kisheria. Mtanzania yeyote ana haki ya kufungua kesi kuhusiana na maandishi ya bango hilo na akasikilizwa. Hayupo mtu yeyote duniani au mtanzania yeyote ambaye anaweza akalingwanishwa na COVID 19. Huu ni ukiukaji mkubwa sana wa haki za binadamu, tena si kwa ngazi ya ki-Taifa tu bali pia kimataifa. Hiki chama sasa kinaanza kutafuta sehemu ya maziko yake, maana sasa hata ile hekima ya kawaida tu inaanza kukipiga chenga
Nenda wewe ukashtaki basi! Naona Kama unatuma mtu, ila vizuri ungeenda wewe!
 
Back
Top Bottom