mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Aliamua kuanza na hili wakati hili halina hata mwaka, aache hilo gonjwa lenye miaka? Uza ubongo huo maana unachekesha walionuna.
Kwa hiyo wewe unataka kupima efficiency ya Rais kupitia HIV?
Waambie vijana wafanye kazi za kukuza uchumi zaidi ya kufanya mapenzi, na wapoamua kuanzisha mahusiano wapime kwanza na kuchukua tahadhari.
Harakati zinaendelea
Rais aliamua aanza na hili lililokua limebeba propaganda za kutumaliza kwa kwa kasi
Mwambie atumie nguvu hizo hizo kufukuza ukimwi.
COVID 19 ilishafukuzwa na rais John Pombe Joseph Magufuli tangu March 2020
Halima na wenzie 18 watamalizana bungeni hawataki maneno