Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Sisi wengine tulishaliona hilo tangu mwanzo !
Hakuna geni hapo ! Akina Mdee wapo sana mpaka 2025 !!
 
Halima Mdee na wenzake Wana uwezo wa kutoa tsh 1m kwa kila mjumbe wa Baraza Kuu
Hata bila kutoa kitu !!
Wale wapo wapo sana tu kwa njia zozote zile including ku-buy time kwenye mashauri mengine yeyote yatakayoletwa kuhusu hilo shauri !!

Tuliwaambiaga tangu mwanzo !!
 
Huu ndio usahihi wa hukumu hii...
 
Rudi shule Mangi ,mzee mbowe alikuwa mwenyekiti kwenye vikao vyote ,elewa neno Mwenyekiti

..kinachotakiwa kuzingatiwa ni kama Katiba ya Chadema imefuatwa wakati wa kuwafukuza uanachama.

..Jaji amejiongeza kitu ambacho hakutakiwa kukifanya ktk maamuzi yake.
 
Mnapenda Sana kuwafananisha CCM na wapinzani. Acheni unafiki. Unajua kwamba bungeni pamejaa CCM asilimia 94% then unalazimisha kuweka na upinzani, tuwe serious.
Kuwafananisha kwenye nini? Mie nimeeleza kuwa hao wabunge kwa pamoja wote huwa kitu cha kwanza ni masilahi yao(au ya chama) kisha ndio hufuata masilahi ya wananchi, na siku zote huwa na umoja kwenye suala la masilahi yao bila kujali upinzani au ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…