Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mimi naona yawepo makubaliano ya hao cov 19 na Uongozi wa CDM! Waachwe waendelee na ubunge kwa kuwa muda uliobaki ni mfupi kabla ya uchaguzi mwingine 2025!
Ndo ukweli wenyewe..!!! Yule RA alisema simu moja tu maamuzi yanabadilika..!!Mmeshaanza😎
Of course hawa hawatatoka bungeni na ndiyo maana akina Lissu na Mbowe na mMimi naona yawepo makubaliano ya hao cov 19 na Uongozi wa CDM! Waachwe waendelee na ubunge kwa kuwa muda uliobaki ni mfupi kabla ya uchaguzi mwingine 2025!
YametimiaJaji hawezi kwenda kinyume na maelekezo kutoka juu. Bunge lazma liwe na wapinzani ili kuendelea kupata msaada kuoka kwa mabeberu.
Bunge kun kamati lazma ziongozwe na wapinzani na huwezi kutoa wote.
JIWE aliambiwa kwa hasira akawakataa wote, akawafuta wapinzani wote ila baadae akashauriwa na wastaafu ndio akawapachika hawa VIRUSI-19.
Wataam wa mambo tunajua wataambiwa wakate rufaa ambayo itawekewa mapingamizi, na mapinga yatasikilizwa by december 2024 wakati tunaingia uchaguzi mkuu, haitokaa itokee kusemwa kwamba walikuwa haramu, yaani legasi ya mwendazake ichafuliwe?
Ruzuku za vyama vya siasa hazitokani na wabunge wa viti maalumOf course hawa hawatatoka bungeni na ndiyo maana akina Lissu na Mbowe na m
Mnyika wanapokea RUZUKU na wanatumia.
nimekuelewa sanaMkuu point yangu usije ukaielewa vibaya.
Yametimia
Saa tatu usiku🙂…Hivi yanga jumamosi anacheza saa ngapi?
Huku mahakama ni tawi la CCMKiukweli Hukumu ziko Kenya bhana tena mubashara kwa TV 😂😂
Jaji alienda na hukumu, kesi imesikilizwa miaka 3 kwa tarehe za mbaliJaji: Ninaona kwamba kesi hii inaangukia katika MANDAMUS
Jaji: Baraza Kuu lilipaswa kufanya kazi ya kimahakama na badala yake walifanya maamuzi kwa kuzingatia ujumla wake na Katiba yao.
Jaji: Naona kwamba maombi ya Waleta Maombi yamezinfatia hoja za Msingi za UFANISI wa chombo cha Maamuzi.
Jaji: Natoka Amri zifuatizo MAAMUZI YA BARAZA KUU YAMEFUTWA.
Nawatakia kheri ya Christmas na mwaka MPYA 2024,akina halima Mdee[Covid-19] mahakama kuu imeridhia ni wanachama wa CHADEMA kwa kuwa imefuta maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA.
Hii nchi kazi tunayo Tena ndefu
Hatuna mahakamaHaya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
Hakuna mahakama hapo mzee bora kuachana naoTutakata rufaa mahakama ya Rufani, kule rufaa itachukua miaka miwili mpaka 2026
Wacha waende rufaa, haki hata ikichelewa ila ipo, hata rufaa ikijisema haina mamlaka ila Mungu anaona kodi za Watanzania zinavyohalalishwa kuliwa na maharamia.Hakuna mahakama hapo mzee bora kuachana nao
Yaani hata alichokiandika jaji mwenyewe kashindwa kukisoma ! Noma sana !Jaji: Ninaona kwamba kesi hii inaangukia katika MANDAMUS
Jaji: Baraza Kuu lilipaswa kufanya kazi ya kimahakama na badala yake walifanya maamuzi kwa kuzingatia ujumla wake na Katiba yao.
Jaji: Naona kwamba maombi ya Waleta Maombi yamezinfatia hoja za Msingi za UFANISI wa chombo cha Maamuzi.
Jaji: Natoka Amri zifuatizo MAAMUZI YA BARAZA KUU YAMEFUTWA.
Nawatakia kheri ya Christmas na mwaka MPYA 2024,akina halima Mdee[Covid-19] mahakama kuu imeridhia ni wanachama wa CHADEMA kwa kuwa imefuta maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA.
Hii nchi kazi tunayo Tena ndefu