Posho za leo wanatafuna bure tuuDodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.
View attachment 2222525
Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Fedha zetu za Kodi tunazokamuliwa hizo.Posho za leo wanatafuna bure tuu
Bado ni wabunge maana Chadema bado haijapeleka barua rasmi kwa Spika juu ya kufukuzwa kwao chamaniWana viburi sana hawa ma bibi
Unataka kusemaje wewe, Jiwe ana mwaka amekufa bado amewashikilia masikio? Jiwe amekaa nao miezi minne tuu akiwa na mamlaka..... nyie mmekaa nao mwaka mzima na ushehe mkiwa na mamlaka yote. .bado mnamlaumuhii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Hawa wabunge wa Chadema wanatia aibu sanaNi wabunge hao wamepeleka pingamizi mahakamani tayari
Ni kweli mpaka CDM watakapo Pelikan taarifa rasmi kwa speaker (naye ata apply her mind)Bado ni wabunge maana Chadema bado haijapeleka barua rasmi kwa Spika juu ya kufukuzwa kwao chamani
Ngoja tuone
Covid 19 hawana mshipa wa aibu
Chadema imewakataa kea asilimia
Mbowe juzi alikuwa IkuluSasa Kama cdm imewakata basi Tulia kawakunali
Was uncivilized governance to the highest degree yaani utawala wa kishenzi shenzi kuwahi onekanahii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.