Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

I'm not sure kama CDM wamepeleka barua au bado lakini wangeheshimu viongozi wa chama chao, kitendo cha kwenda bungeni ni dharau kwa chama na wanaonyesha hawajali lolote ikitokea wakatimuliwa bungeni watarudi kuomba msamaha kwa nani ?
Barua tayari imefika kwa Tulia Ackson au ofisi ya spika wa bunge swala kusema wangeheshimu viongozi wa Chama chao Chama kipi?? Wakina mdee hawana Chama
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Huku ndiko kukomaa kisheria.
Hawa wanatafuta kile wanachoamini ni haki yao.

Watanzania wengi bado ni waoga kama wewe unavyoonekana...eti ni aibu kimataifa!?
Unapopambania haki yako huhitaji huruma wala kumfurahisha yeyote.
 
I'm not sure kama CDM wamepeleka barua au bado lakini wangeheshimu viongozi wa chama chao, kitendo cha kwenda bungeni ni dharau kwa chama na wanaonyesha hawajali lolote ikitokea wakatimuliwa bungeni watarudi kuomba msamaha kwa nani ?
...Wamefukuzwa uanachama kwa hiyo viongozi wa kile chama sio viongozi wao tena maana wao sio wanachama...sina hakika kama wanampango wa kuomba msamaha..maana kwa mujibu wa Mbowe ni kuwa walipewa nafasi ya kuomba msamaha kabla ya maamuzi ya baraza kuu na wakakataa!
 
Haya ni mengine...lakini kwa kuwa wanaingia bungeni na kushiriki mijadala kama wabunge...basi ni wabunge (haijalishi uhalali wao wa kuingia bungeni)...kama chadema wakipeleka barua rasmi kumjulisha kiongozi wa bunge (spika) kuwa hao sio wanachama wao...basi itabidi ubunge wao ukome...maana kwa sasa inatambulika (kwa rekodi rasmi za bunge) kuwa wako bungeni kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), sio kwa hisani ya Rais
Ni vizuri kuwa mkweli
<blockquote class="twitter-tweet"><p lang="in" dir="ltr">Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika leo Ijumaa amesema, barua kuhusu Baraza Kuu kutupilia mbali rufaa za waliokuwa wanachama wao, Halima Mdee na wenzake 18 imeshafika kwa Spika, &quot;ni vyema akaheshimu na kutekeleza sasa matakwa ya katiba ya nchi na sheria.&quot; <a href="https://t.co/kWA86CBKIo">pic.twitter.com/kWA86CBKIo</a></p>&mdash; MwanaHALISI Digital (@Mwanahalisitz) <a href="">May 13, 2022</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
 
I'm not sure kama CDM wamepeleka barua au bado lakini wangeheshimu viongozi wa chama chao, kitendo cha kwenda bungeni ni dharau kwa chama na wanaonyesha hawajali lolote ikitokea wakatimuliwa bungeni watarudi kuomba msamaha kwa nani ?
...Wamefukuzwa uanachama kwa hiyo viongozi wa kile chama sio viongozi wao tena maana wao sio wanachama...sina hakika kama wanampango wa kuomba msamaha..maana kwa mujibu wa Mbowe ni kuwa walipewa nafasi ya kuomba msamaha kabla ya maamuzi ya baraza kuu na wakakataa!
 
Kiutaratibu wako sahihi kwenda bungeni, mpaka pale spika atakapotangaza kupokea barua ya kufukuzwa kwao
 
Mnyika katoa taarifa hii kwa kandika kwenye Twitter..Spika Tulia nae kasema hajapata barua (taarifa) rasmi, wote wawili hakuna aliyetoa uthibitsho wa hoja zake! kwa sababu Mnyika ndio anamtuhumu Spika kuwa hataki kuheshimu maamuzi yao...basi ana mzigo wa kuthibitisha tuhuma zake, so aonyeshe uthibitisho wa kupekeka barua hiyo na barua hiyo kupokelewa bungeni....
 
Wanaopashwa kuilinda na kuitetea katiba ndio wako mstari wa mbele kutoiheshimu.

Spika anaweza kudhani anaikomoa chadema, lkn in actual fact anajiharibia. Historia itamuona Kama Ndughai.
 
FSntTkPWQAI5mML.jpg


Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wapo bungeni wakiendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.

Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la CHADEMA lilitupilia mbali rufaa za Wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
 
Ngoja tuone

Covid 19 hawana mshipa wa aibu

Chadema imewakataa kea asilimia 97
Hii ni Afrika Brother ingekuwa ulaya au marekani au asia wangejiuzulu , ikiwa watu wanatumia hata faulo kuupata huo ubunge halafu auachie kilaini kwake haikubaliki
 
kaua wengi ndugu tena wasio na hatia na ndiyo maana damu zao zinanena hapa - hakuwa kiongozi makini - aliongozwa na mihemko. Imagine unamtoa mfungwa gelezani usiku wa manane then kesho yake asubuhi anaapa ati kuwa ubunge - akili hiyo.
Wakikuambia ulete aliowaua huwezi kuwaleta. Kufa afe mwanaharakati, akifa aliyekatwa na panya road hapo si kitu. Tujue kubalance ubinadamu na haijaandikwa kuwa akifa mwanaharakati ndo kafa mtu.

Wangapi wanazuliwa na waharifu sasa hvi? Kiongoz anasimama na kusema nawaomba waache mara 1 😁😁 huyu hata nchi ikivamiwa na al shabab atawaomba waache mara 1 et ndo demokrasia. Mengine toa maelekezo ya kisiri kwa vyombo husika kudeal na masuala hayo.
 
Ni wabunge hao wamepeleka pingamizi mahakamani tayari
Kama kweli wamepeleka hii issue mahakamani bila kujali nani ana haki yafuatayo yatatuharibia sana.
1.Maridhiano yatachelewa.
2.Uadui kisiasa kati ya chama tawala na upinzani utaongezeka.
3.Nia njema ya Samia itarudishwa nyuma.
4.Mpasuko mkubwa 2025 kwenye uchaguzi utakuwepo zaidi ya awamu ya 5.
5.Kidplomasia itachafua hali ya hewa.
NB!
Ni muhimu kukubali ukweli wapi tulikosea kwenye uchaguzi 2020.Tusilazimishe hoja kupitia watu 19 wawe halali huku UHUNI ukiendelezwa kwenye vyama vyetu vyote.
 
Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wapo bungeni wakiendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022...
Hawatovuliwa ubunge mpaka barua ya kusitisha uwana chama wao itakapofika kwa spika
 
Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wapo bungeni wakiendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022...​
Watakuwa walihakikishiwa na Tulia kuwa wawepo hakuna wa kuwatoa bungeni
 
Wakikuambia ulete aliowaua huwezi kuwaleta. Kufa afe mwanaharakati, akifa aliyekatwa na panya road hapo si kitu. Tujue kubalance ubinadamu na haijaandikwa kuwa akifa mwanaharakati ndo kafa mtu. Wangapi wanazuliwa na waharifu sasa hvi? Kiongoz anasimama na kusema nawaomba waache mara 1 😁😁 huyu hata nchi ikivamiwa na al shabab atawaomba waache mara 1 et ndo demokrasia. Mengine toa maelekezo ya kisiri kwa vyombo husika kudeal na masuala hayo.
yule jamaa alikuwa katili sana bana, kumtundika marisasi yote hayo lissu kisa? kumnyima matibabu kisa? kumfuta na ubunge kisa? roo mbayaaaa
 
Back
Top Bottom