Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Barua tayari imefika kwa Tulia Ackson au ofisi ya spika wa bunge swala kusema wangeheshimu viongozi wa Chama chao Chama kipi?? Wakina mdee hawana ChamaI'm not sure kama CDM wamepeleka barua au bado lakini wangeheshimu viongozi wa chama chao, kitendo cha kwenda bungeni ni dharau kwa chama na wanaonyesha hawajali lolote ikitokea wakatimuliwa bungeni watarudi kuomba msamaha kwa nani ?
Kaka uliona wapi nchi makini ikampa mtu kama Sabaya ama Bashite mamlaka ya kumsaidia Rais wa nchi?Hakika.Unafukuzwa unafukuzwa unakomaa,,,.Njaa Mbaya saaana.Ndio ujue Watu Wapo kwa ajili ya tumbo tuu.
Huku ndiko kukomaa kisheria.hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Wanajipendekeza kwa CHADEMA ila CHADEMA imewakataa, hyo trickni ya aibu tu ya kutimuliwa BwasheeHawa wabunge wa Chadema wanatia aibu sana
...Wamefukuzwa uanachama kwa hiyo viongozi wa kile chama sio viongozi wao tena maana wao sio wanachama...sina hakika kama wanampango wa kuomba msamaha..maana kwa mujibu wa Mbowe ni kuwa walipewa nafasi ya kuomba msamaha kabla ya maamuzi ya baraza kuu na wakakataa!I'm not sure kama CDM wamepeleka barua au bado lakini wangeheshimu viongozi wa chama chao, kitendo cha kwenda bungeni ni dharau kwa chama na wanaonyesha hawajali lolote ikitokea wakatimuliwa bungeni watarudi kuomba msamaha kwa nani ?
Ni vizuri kuwa mkweliHaya ni mengine...lakini kwa kuwa wanaingia bungeni na kushiriki mijadala kama wabunge...basi ni wabunge (haijalishi uhalali wao wa kuingia bungeni)...kama chadema wakipeleka barua rasmi kumjulisha kiongozi wa bunge (spika) kuwa hao sio wanachama wao...basi itabidi ubunge wao ukome...maana kwa sasa inatambulika (kwa rekodi rasmi za bunge) kuwa wako bungeni kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), sio kwa hisani ya Rais
...Wamefukuzwa uanachama kwa hiyo viongozi wa kile chama sio viongozi wao tena maana wao sio wanachama...sina hakika kama wanampango wa kuomba msamaha..maana kwa mujibu wa Mbowe ni kuwa walipewa nafasi ya kuomba msamaha kabla ya maamuzi ya baraza kuu na wakakataa!I'm not sure kama CDM wamepeleka barua au bado lakini wangeheshimu viongozi wa chama chao, kitendo cha kwenda bungeni ni dharau kwa chama na wanaonyesha hawajali lolote ikitokea wakatimuliwa bungeni watarudi kuomba msamaha kwa nani ?
Kuna mtu au taasisisi inawapa kiburiWana viburi sana hawa ma bibi
Hii ni Afrika Brother ingekuwa ulaya au marekani au asia wangejiuzulu , ikiwa watu wanatumia hata faulo kuupata huo ubunge halafu auachie kilaini kwake haikubalikiNgoja tuone
Covid 19 hawana mshipa wa aibu
Chadema imewakataa kea asilimia 97
Wakikuambia ulete aliowaua huwezi kuwaleta. Kufa afe mwanaharakati, akifa aliyekatwa na panya road hapo si kitu. Tujue kubalance ubinadamu na haijaandikwa kuwa akifa mwanaharakati ndo kafa mtu.kaua wengi ndugu tena wasio na hatia na ndiyo maana damu zao zinanena hapa - hakuwa kiongozi makini - aliongozwa na mihemko. Imagine unamtoa mfungwa gelezani usiku wa manane then kesho yake asubuhi anaapa ati kuwa ubunge - akili hiyo.
Kama kweli wamepeleka hii issue mahakamani bila kujali nani ana haki yafuatayo yatatuharibia sana.Ni wabunge hao wamepeleka pingamizi mahakamani tayari
Hawajui siasa za bongo watakuja kupotea hapa siku tutakuja kusikia tu wanachangiwa pesa kwenda India.Wana viburi sana hawa ma bibi
Kama hawana chama hapo bungeni wanafanya niniBarua tayari imefika kwa Tulia Ackson au ofisi ya spika wa bunge swala kusema wangeheshimu viongozi wa Chama chao Chama kipi?? Wakina mdee hawana Chama
Hawatovuliwa ubunge mpaka barua ya kusitisha uwana chama wao itakapofika kwa spikaBaadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wapo bungeni wakiendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022...
Watakuwa walihakikishiwa na Tulia kuwa wawepo hakuna wa kuwatoa bungeniBaadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wapo bungeni wakiendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022...
yule jamaa alikuwa katili sana bana, kumtundika marisasi yote hayo lissu kisa? kumnyima matibabu kisa? kumfuta na ubunge kisa? roo mbayaaaaWakikuambia ulete aliowaua huwezi kuwaleta. Kufa afe mwanaharakati, akifa aliyekatwa na panya road hapo si kitu. Tujue kubalance ubinadamu na haijaandikwa kuwa akifa mwanaharakati ndo kafa mtu. Wangapi wanazuliwa na waharifu sasa hvi? Kiongoz anasimama na kusema nawaomba waache mara 1 ππ huyu hata nchi ikivamiwa na al shabab atawaomba waache mara 1 et ndo demokrasia. Mengine toa maelekezo ya kisiri kwa vyombo husika kudeal na masuala hayo.