Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hawa kina Halima wanaweza kupeta kwa amri ya Mahakama until Bunge linaisha.
Wanasheria wao bila bila shaka wanaperuse kuona kama kile kikao cha kamati kuu kilitenda sawasawa na Katiba yao inavyosema. Wakiwakosa hapo, Mahakama kwa msaada wa Bunge itaangalia kama “natural justice” ilifuatwa - i.e kama hao wamama walisikilizwa kwanza. Hapa CHADEMA haichomoki
Then Bunge likiisha, wanatimkia CCM na kufanyiwa mpango wa kurudi Bungeni tena
Technically kwenye hii saga atakayepoteza ni CHADEMA wenyewe