Halima Mdee: Niko imara kuliko jana

Halima Mdee: Niko imara kuliko jana

Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:

Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Kwa kweli anaujasiri tena sio kidogo, kutwangana na asikari magereza!! Na bado Yuko Imara tena, mchezo sjui utarudiwa Kwa vile Yuko Imara kuliko
 
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:

Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Bangi zinamsumbua
 
Awe makini na Matumizi ya hizo simu walizokuwa wanashikilia hawa Mumiani.. Lazima watakuwa wamezihack ili wamfuatilie kwa ukaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:

Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Yuko imara kwa kitu gani huyu mdada? Hakuna cha maana anachopigania ila kuonyesha ukakamavu kuwazuga wale manyumbu wanaomfuata kama mbwa mbele ya chatu. Halima anacreate vagi mfululizo akitegemea kupata huruma na umashuhuri achaguluwe tena ubunge. Nachokiona ubunge hata akupigwa na magereza mara ngapi hapati watu wa kawe wamechoka na matukio na usanii..hakuna anachofanya na chadema yake imechokwa.
 
salimie sana hiyo mama mwambie sisi jimboni tunasema bye bye kwa yeye penda kesi ya jinai, oktoba tunachagua bunge nyingine .
Haya mambo ya Demokrasia bana, yaani wewe na marafiki zako mnaweza piga kura kumpiga chini Halima Mdee, ukashagaa anashinda tena!! Pengine kuna maeneo wanamkubali sana na wako wengi kuliko maeneo mnaomponda. Labda Kama Magu atatumia staili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wagombea wa upinzani waenguliwe kwa asilimia 99 tena.
 
Usipotii sheria bila shuruti, utashurutishwa kuitii sheria. Na wenye taaluma hiyo wapo na wamefundishwa na pia wameongezewa vitendea kazi vinavyonunuliwa kwa kodi ya Wananchi.

Amelia kama Bia/Soda kwenye CHUMA isipo kizibo.Ukizitikisa tu vimiminika vitafoka na kumwagika.Si mmeejaribu na mmeona.

"Kina cha maji ziwani hakipimwi kwa unyayo"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatushangai kuona CCM ikitumia polisi kuwanyanyasa wapinzani wake kisiasa. CCM haina mwelekeo na wala si chama cha siasa na katika awamu hii ndio kabisaa wameshasahau siasa. Ndio maana Mwenyekiti wa CCM anaogopa saaana wapinzani na hawezi kuthubutu kuruhusu uchaguzi huru. Daima itakuwa Sekeseke kama za uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.
 
Salary Slip, p
Kila mara huwa nasema mmeshindwa kuwa na mikakati ya kujenga Chama ili atleast watu warudishe ile imani waliyokuwa nayo kwenu,lakini mmebaki kuwa na propaganda za kipumbavu(lack of intelligence).Habari za kumlinganisha Yesu na wanasisa matapeli zinatoka wapi?

Leo hii waha matapeli watamkomboa nani? Na Tanzania inahitaji kukombolewa toka kwenye matatizo yapi? Kama ufisadi umedhibitiwa,kama zahanati na hospital zimejengwa, barabara na madaraja yanendelea kujengwa Sgr JNHHP n.k. Unajua mmefeli mpaka mnadhani huruma toka kwa wananchi ndio solution.
Sawa kabisa. Maendeleo yamejaa tele na wananchi wameridhika na CCM na wapinzani wanatapatapa hawana hoja. Good. Sasa kama ndio hivyo, inakuwaje uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana serikali ya CCM imepora ushindi? Inakuwaje tunaona figisu kwenye chaguzi ndogo za marudio? CCM wanapewa nyaraka kamili za mawakala, wakati wale wa upinzani hawapewi. Wakienda kudai wanapigwa risasi za moto, anakufa AKWILINA. walioua wanajulikana, lakini viongozi wa juu wote CHADEMA wanafunguliwa kesi feki ambayo inalenga kuwasumbua na kuwapotezea wakati, na kuwaondoa mchezoni. Kwa kuwa mahakimu wanaotoa hukumu ya kuwatia hatiani wapinzani wanapata promosheni, hatushangai hukumu iliyotolewa, faini nzito. Lakini wananchi wamechangia. Kwa nini wananchi wahangaike na wapinzani waliokosa mwelekeo? Tena katika maisha magumu sana ya serikali ya kidhalimu ya awamu ya tano?

Inafikia hatua Katibu mkuu wa CCM anakiri kwamba CCM inatumia dola KUBAKI MADARAKANI. Upuuzi ulioje!! Yaani CCM wanatumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya chama? Ili wadumu madarakani milele? lakini huo ni ushahidi tosha kwamba CCM wenyewe mnajua kwamba hampendwi na ndio maana mnahitaji mbeleko ya dola
 
Wanaume wazima badala ya kihangaikia maisha yao wakishastaafu...wao eti wanahangaika na mtoto wa kike kumvunja viungo...aibu sana..
 
Back
Top Bottom