Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Mmekuwa na hasira sana,sjjui tu october ikifika. Tusio na vyama tutajikalia pembeni.Tuliza kishundu hicho uzae salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekuwa na hasira sana,sjjui tu october ikifika. Tusio na vyama tutajikalia pembeni.Tuliza kishundu hicho uzae salama
Wewe msukule wa Lumumba.Mmekuwa na hasira sana,sjjui tu october ikifika. Tusio na vyama tutajikalia pembeni.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Tangu lini wewe ukawa huna chama ?Mmekuwa na hasira sana,sjjui tu october ikifika. Tusio na vyama tutajikalia pembeni.
Vijiji gani hivyo ambavyo zama hizi havina umeme wala maji?Pamoja / ccm ni chama cha watu wavijijin wasio na umeme wala maji.
Bangi zinamsumbuaKaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Hata Idd Amin ulikuwa mpango wa Mungu.Salary Slip,
Hivi kati ya CCM na CHADEMA, mungu anasikiliza dua za nani? Nauliza hivyo maana CHADEMA kutwa kucha wanajilinganisha na Yesu, mara Musa, mara wana waIsrail. Mara mungu hashindwi kitu! Lakini pia kutwa kucha madhila yanawapata CHADEMA!
SawaKaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Yuko imara kwa kitu gani huyu mdada? Hakuna cha maana anachopigania ila kuonyesha ukakamavu kuwazuga wale manyumbu wanaomfuata kama mbwa mbele ya chatu. Halima anacreate vagi mfululizo akitegemea kupata huruma na umashuhuri achaguluwe tena ubunge. Nachokiona ubunge hata akupigwa na magereza mara ngapi hapati watu wa kawe wamechoka na matukio na usanii..hakuna anachofanya na chadema yake imechokwa.Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Niko hewani tena, nimepata simu zangu usiku huu. Hakuna neno la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko imara kuliko jana.
Haya mambo ya Demokrasia bana, yaani wewe na marafiki zako mnaweza piga kura kumpiga chini Halima Mdee, ukashagaa anashinda tena!! Pengine kuna maeneo wanamkubali sana na wako wengi kuliko maeneo mnaomponda. Labda Kama Magu atatumia staili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wagombea wa upinzani waenguliwe kwa asilimia 99 tena.salimie sana hiyo mama mwambie sisi jimboni tunasema bye bye kwa yeye penda kesi ya jinai, oktoba tunachagua bunge nyingine .
Hatushangai kuona CCM ikitumia polisi kuwanyanyasa wapinzani wake kisiasa. CCM haina mwelekeo na wala si chama cha siasa na katika awamu hii ndio kabisaa wameshasahau siasa. Ndio maana Mwenyekiti wa CCM anaogopa saaana wapinzani na hawezi kuthubutu kuruhusu uchaguzi huru. Daima itakuwa Sekeseke kama za uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.Usipotii sheria bila shuruti, utashurutishwa kuitii sheria. Na wenye taaluma hiyo wapo na wamefundishwa na pia wameongezewa vitendea kazi vinavyonunuliwa kwa kodi ya Wananchi.
Amelia kama Bia/Soda kwenye CHUMA isipo kizibo.Ukizitikisa tu vimiminika vitafoka na kumwagika.Si mmeejaribu na mmeona.
"Kina cha maji ziwani hakipimwi kwa unyayo"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa. Maendeleo yamejaa tele na wananchi wameridhika na CCM na wapinzani wanatapatapa hawana hoja. Good. Sasa kama ndio hivyo, inakuwaje uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana serikali ya CCM imepora ushindi? Inakuwaje tunaona figisu kwenye chaguzi ndogo za marudio? CCM wanapewa nyaraka kamili za mawakala, wakati wale wa upinzani hawapewi. Wakienda kudai wanapigwa risasi za moto, anakufa AKWILINA. walioua wanajulikana, lakini viongozi wa juu wote CHADEMA wanafunguliwa kesi feki ambayo inalenga kuwasumbua na kuwapotezea wakati, na kuwaondoa mchezoni. Kwa kuwa mahakimu wanaotoa hukumu ya kuwatia hatiani wapinzani wanapata promosheni, hatushangai hukumu iliyotolewa, faini nzito. Lakini wananchi wamechangia. Kwa nini wananchi wahangaike na wapinzani waliokosa mwelekeo? Tena katika maisha magumu sana ya serikali ya kidhalimu ya awamu ya tano?Salary Slip, p
Kila mara huwa nasema mmeshindwa kuwa na mikakati ya kujenga Chama ili atleast watu warudishe ile imani waliyokuwa nayo kwenu,lakini mmebaki kuwa na propaganda za kipumbavu(lack of intelligence).Habari za kumlinganisha Yesu na wanasisa matapeli zinatoka wapi?
Leo hii waha matapeli watamkomboa nani? Na Tanzania inahitaji kukombolewa toka kwenye matatizo yapi? Kama ufisadi umedhibitiwa,kama zahanati na hospital zimejengwa, barabara na madaraja yanendelea kujengwa Sgr JNHHP n.k. Unajua mmefeli mpaka mnadhani huruma toka kwa wananchi ndio solution.
Acha ushamba kuwa hacked hata mtu yuko China anakudukua tu,sio mpaka simu yako ichukuliwe na wazee wa kazi.Awe makini na Matumizi ya hizo simu walizokuwa wanashikilia hawa Mumiani.. Lazima watakuwa wamezihack ili wamfuatilie kwa ukaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumb.avu siku zote hufikiria kuoa na kuolewa.Uimara wa nini?...hilo neno limezoeleka hana mapya ,bora atafute mme aolewe ataheshimika!
Sent using Jamii Forums mobile app