Halima Mdee: Nipo single na sijafanikiwa kupata mtoto

Halima Mdee: Nipo single na sijafanikiwa kupata mtoto

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi.

My take:
Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
0E6F2453-1454-4104-AC67-85DD03776489.jpeg
 
Ni wanawake wachache wa kariba yake huenda hapendi kua na mtoto.

Nilikua na manzi hata mjegeje sti hapendi yeye anapenda adventure, ni anazurula miji na nchi ya karibu mno.
Mambo ya familia sijui mke na mume hataki hata kiyasikia.
 
Back
Top Bottom